Majimoto
Senior Member
- Nov 22, 2007
- 138
- 146
Mikoba ya kichawi ni tofauti na mikoba wanayobeba kina dada na mama zetu, mikoba ya kichawi ni mikoba inayotumiwa na wachawi kubebeba zana mbalimbali za kichawi.Wachawi wengi huwa wanaishi kwenye nyumba za kupanga au wanaishi na wazazi wao ambao ni wacha Mungu.
Wachawi wa namna hii hushindwa kuweka mikoba yao kwenye vyumba walivyopanga hasa kama nyumba hizo zikiwa zina wacha Mungu hutumia matumbo ya watu (hasa kina mama) kama kabati lao la kuhifadhi mikoba yao ya kichawi.