Mikoani wanaona english premier league through cable | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikoani wanaona english premier league through cable

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Oct 2, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndugu Wana JF hapa Dar es Salaam mbona hakuna supply wa Cable kama Mikoani. Mfano Dodoma, Iringa, Tabora, Arusha na Mwanza wanaona mpira wa England kupitia channel hizi ABU DHABI(AD SPORTS 1,2,3,4,5,6)

  Pia TEN SPORTS wanarusha LIGI YA SPAIN NA ITALY.

  WANAFAIDI KWELI. KUJIUNGA Ni TSH 50000 na Kila mwezi unalipa 10000 tu. Je hapa Dar es Salaam mbona hii huduma hakuna Jamani maana hivi ving'amuzi hakuna lolote sisi wapenzi wa Mpira. Maana DSTV bei iko juu sana kwa sisi watu wa uswazi. Hii imekaaje wadau
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mijini kuna raha na karaha zake. ktk hili la mpira hata mie ningetamani kuishi mkoani. yaani huku ni full kujiachia, hao dstv kama wangekuwa wajanja basi wangepunguza gharama na wangevuna kweli kweli, si mnakumbuka jinsi GSports walikamata wateja!
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mnalalamika nn nunueni kingamuzi cha hao jamaa wa ATN na pia ingia dstv kama wapenda mpira lipa hiyo laki na ushee kwa mwezi,starehe garama.
  mm hapa nilipo sijawahi kuangalia hizo mechi kwani kwa wenzetu ni garama sana kuanagalia hizo mechi kupitia vingamuzi,
   
Loading...