Mikoani jf tabu tupu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikoani jf tabu tupu..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mentor, Jul 11, 2012.

 1. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,703
  Likes Received: 8,245
  Trophy Points: 280
  Sijui ni simu yangu au network au nn..but niko mikoani huku and napata shida sana kuaccess jf..nawamiss sana ila nimetuma salamu zangu kwenu kupitia beibe nasty hope mmezipata.
  Now nipo Kigoma..aisee bwana Zito anavyokasirikaga bungen ni haki yake..mji mzuri kweli ila barabara za kufikia huku sasa...duh..vumbi tupu.
  Na wale wa Tabora ndo duuh..hali mbofumbofu kabisa..kweli tembea uone..af huko ndo kila mahali unakuta bendera za magamba...so sad aisee.
  Eniwei..ni mtazamo wangu..siku njma wapendwa...mie huyo kwenye misele nipate hela ya migebuka jioni..lol.
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mentor mambo mi mith u bana! kumbe ndo maana sikusomi kwenye rada yangu?? lol! wasalimie kigoma, nilikuwa hapo last year, kigoma mjini na kasulu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  We Mentor kwani walioko Dar na Arusha hawako Mikoani?
  Yote ni Mikoa au unamaanisha nini?
  Kigoma ni mkoa kama ulivyo Dar Mwanza na Arusha
  Heheheee
  Ukipita Katonga wasalimu wote
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  pole sana kwa network ya kupanda juu ya mti...

  ila hiyo picha uliyotuwekea, una mpango gani na shingo zetu?
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheeeee BADILI TABIA
  Network imeigeuza hiyo icha Lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  hahahahah haiwezekani...
  yaani network ni shida kuipata mpaka imegeuza picha?
  hahahahah
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahaaaaa
  Unacheza na Kigoma wewe lol
  Mwambie akomaenayo uone kama itakubali
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Pole kwa hayo! Ukitaka migebuka na dagaa wa kumwaga nenda Kibirinzi !
  Kama umefikia lodge , tafuta maeneo ya Mjimwema kule pako juu Netwk haisumbui sana.
   
 9. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  uko mikoani? we noma
   
 10. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,703
  Likes Received: 8,245
  Trophy Points: 280
  Bi cacico..ndiyo maana sipatkani wangu..nimekumiss kama nn sijui...
  Aisee thank God sikupita kasulu wanasema njia ni high crime risk sana..safari mpaka upewe escort ya polisi..kha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Karibuni meatu huku
  Jua kali na joto kama kawaida
  Erickb52 najua wewe hata hapo mjini hujawahi toka
  Karibu huku tule ugali wa mtama
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,703
  Likes Received: 8,245
  Trophy Points: 280
  Haha..hii mikoa ya kanda za ziwa balaa tu.
  Hehe..katonga ni kwa wakwe au ex...nimwambie ushaoa??!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,703
  Likes Received: 8,245
  Trophy Points: 280
  Shem Judgement inaonyesha unayajua maeneo haya vizuri...nimepata mwenyeji atakua free kesho..op to go uko kesho.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mmmmh jamani meatu mie hata kwa burungutu siji...
  nilikuja mara moja tu, mtazamo ambao kichwa changu ulinipa sikutaka hata kurudi...   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Basi njoo huku Dongobesh!
  Kama veve apana gopa dongo kuja ona sisi nalima punga sana!
  Karibu bhana punga kusa'stawi tena iko mingi sana!
  Kama veve kuja toondoka na chele mingi pelekea toto jumbani ako.
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nilishapiga mwezi mzima hapo ila ujiji semegi yangu nilipapenda sana kuliko Mwanga na Kigoma town kule Uhindini .
  Ujiji pako kihistoria zaidi, majengo ya kale mengi hayajabadilishwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  asante, ila mpunga mie nalima mwenyewe.....
  ila mwaka huu sijalima hivyo nitumie mchele kwa bus.   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,703
  Likes Received: 8,245
  Trophy Points: 280
  ney kush my dia..unoma uko wapi tena hapo??! Kunaboa huku kama huna mwenyeji??!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,703
  Likes Received: 8,245
  Trophy Points: 280
  BADILI TABIA..aisee uko kama mimi..kurudi tena kigoma noo..labda mpaka lami ikamilike aisee...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...