Chadema ni chama cha vurugu.
Nawashauli jiungeni na chetu cha CUF kimejaa heshima
Morogoro inatia aibu. Mie natoka mkoa huo lakini kwa swala la kusinzia ndo tunaongoza. Wanachofanya CCM mikoa yote wanayopata kura nyingi huwa hawapeleki miradi yoyote ya maendeleo. Barabara ya Kidatu - Ifakara - Mahenge mpaka leo hii ni ya vumbi na wakati wa masika ni shughuli pevu. Ukija uchaguzi kura zote kwa CCM. Shame on us!
naona huyu bwana hatupo naye halo! Mungu awe mkombozi wa wananchi wa Tanzania tu?? ebo!
na Wanadamu wote Je?
Elewa kinachoongelewa pimbi wewe...Kama Chadema ni mkombozi wa wananchi na mungu ana kazi gani??????
Usisahau DODOMA. Mkoa huu lazima ufanyiwe operation Nyangumi ili CCM wasiwe wanashinda kwa kishindo kama walivyofanya mwaka huu. Inauma sana kwa wananchi maskini kuendelea kuyarudisha madarakani majitu yasiyo na huruma kwa masikini.Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:
1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa CHADEMA waende mahakamani.
2) Kuna mikoa inahitaji OPERATION ZINDUKA. Hii ni mikoa ambayo wananchi wake wako nyuma kimaendeleo km vile Morogoro, Singida, Tabora, Ruvuma, Mtwara, Lindi na Kibaha
3) Wananchi wajitokeze kuichangia CHADEMA kwa HALI na MALI.
CHADEMA ni MKOMBOZI WA WANANCHI na TANZANIA
kama chadema ni mkombozi wa wananchi na mungu ana kazi gani??????
Na TANGA.....toka 1970s hakuna maendeleo lakini kila uchaguzi CCM wanashinda 100
DODOMA hatuna shida maendeleo hayooooo CCM inatuletea, DODOMA ya 2008 si ya leo na bado, acheni papara mambo mazuri hayataki haraka, mwanza ya 1996 si ya leo, leo mwanza ni jiji na hili limetokea ndani ya serikali ya CCM, mambo kwa awamu, kwani akipewa nchi slaa au chadema ndio mikoa yote itabadilika kwa mara moja, kupanga si kutenda! eti miaka 5 tu inatosha.. wasomi na bado mnadanganyika,Usisahau DODOMA. Mkoa huu lazima ufanyiwe operation Nyangumi ili CCM wasiwe wanashinda kwa kishindo kama walivyofanya mwaka huu. Inauma sana kwa wananchi maskini kuendelea kuyarudisha madarakani majitu yasiyo na huruma kwa masikini.
lakini mkuu usisahau ile methali inayosema ukimwamsha aliyelala.................! Hawa dawa yao ni viboko tuwajinga ndiyo waliwao kwa kweli..ukiona sehemu ambazo chadema ndiyo wameshinda ujue ya kwamba kumeamka... Kwa mfano jimbo la rombo mramba alikua anatumia gia ya barabara inayojengwa kuunganisha marangu hadi kamwanga mpakani mwa kenya na tanzania kama mafanikio yake..wananchi wakampiga chini kwa kujua huo ni upuuzi na wala hicho sio kigezo...! Sasa hao wenzangu ambao wanapelekewa tshirt, kofia na kupelekewa show za bure za ubongo wa fleva wanauza haki zao, kwa kweli tunasikitika..inabidi tufanye muamsho wa ukweli! Juhudi zote sasa zielekezwe kule..najua kuna watu wa mikoa hiyo ambao wameamka..nadhani hao hao ndiyo chachu ya mabadiliko..hao hao ndiyo waende vijijini kwao na kuwapiga sindano hao jamaa waamke huko usingizi waone dunia ilipo na inakokwenda.. Wakijua ukweli watalia sana!
Kama Chadema ni mkombozi wa wananchi na mungu ana kazi gani??????
Na special campaigns inabidi zianze immediately, sasa hivi. Kwanza kwa viongozi wa chama kuingia mitaani mijini na vijijini kuwaweka wananchi sawa juu ya nini wanatakiwa kupata toka kwa viongozi waliopewa dhamana. Kwa muda mrefu sasa CCM imekuwa ikifaidi mtaji unaotokana na ujinga wa watanzania walio wengi. Ndiyo maana inazidi kuupalilia ujinga kwa kuendesha mipango ya elimu zisizo na tija ili watu wengi waendelee kuwa wajinga, wanaoamini kuwa kusema CCM ndiyo kama umesema Tanzania. Wanaoamini Nyerere bado ni Raisi wetu na wanaoamini kuwa bila CCm Tanzania itakuwa na vita. Lazina CCM waelewe hata hivyo kuwa ujinga si kilema cha kudumu. watu wakielimishwa wanatoka katika lindi la ujinga na ndio hicho inabidi kifanyike. Hadi sasa dalili ni njema maana hali ya 2005 na sasa ni tofauti, watu wameanza kuelewa japo juhudi zaidi inahitajika. Pamoja na viongozi kuendesha kampeni kuanzia leo hadi uchaguzi wa 2015, sisi sote wapenda maendeleo na neema kwa Tanzania inabidi tuingie mitaani pale tulipo kwa mtu mmoja-mmoja au hata vikundi kueneza ujumbe wa sababu za mabadiliko, huku tukiwakumbusha wananchi kufuatilia utekelezaji wa ahadi zote zilizotolewa na CCM wakati wa kampeni ili wakati wa kampeni zijazo CCM ikisema tumetimiza ahadi ZETU ZOTE asilimia 100 tuwe na 'data' za kuhoji vinginevyo.
Napenda kuwasilisha wadau!!
SASA WEWE NDIO UMEDATA KWELI YAANI MKOMBOZI GANI HUWA ANAHITAJI KUCHANGIWA ILI AKUKOMBOE? SAWA SAWA NA MTU ANAKUJIA UKIWA MSIBANI,MSIBA NI WA BABA YAKO HALAFU ANAKWAMBIA NISAIDIE ELFU KUMI HAPO ILI NITOE MCHANGO WA MSIBA KAMA WEWE UTAMFANYAJE?UKIKUBALI KUWA WATANZANIA NI MASIKINI HIZO MALI ZA KUICHANGIA CHAFYOKO ZITATOKA WAPI? MSHAURINI SLAA AENDE AKAOMBE MSAMAHA ARUDI KUCHUNGA KONDOO WA................ UTAKUWA UMEELEWA.:yield:Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:
1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa CHADEMA waende mahakamani.
2) Kuna mikoa inahitaji OPERATION ZINDUKA. Hii ni mikoa ambayo wananchi wake wako nyuma kimaendeleo km vile Morogoro, Singida, Tabora, Ruvuma, Mtwara, Lindi na Kibaha
3) Wananchi wajitokeze kuichangia CHADEMA kwa HALI na MALI.
CHADEMA ni MKOMBOZI WA WANANCHI na TANZANIA