Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
Kuhusu Kagera Kuna tatizo ambalo nadhani linaikumba mikoa mwingine pia,mosi wenyeji kubweteka kwa kuchagua kazi za kufanya,,pili tokana na Hilo la kwanza baadhi ya wenyeji kubaguana wao kwa wao kwa kuona fulani akipata hiki au kile atatamba sana dhidi ya kundi fulani,ivyo anatiliwa kauzibe ana lose,hapo ni kwa kutumia mbinu mbalimbali zikiwemo fitina,uchawi nk,mwisho wa siku hata kama mtu wa nje alitaka kuwekeza ,anaamua kuamia mkoa mwingine ivyo fursa inapotea hivi hivi,kamnobere nk,nk,,tokana na hayo unakuta wageni wanaofight kwa mbinde,ndo wanatoboa angalau,.
 
Hautoboi ukifanya biashara gani?

Taja mkoa na biashara gani hautatoboa. Mfano ukienda Makete kuuza mafriji ni wazi utasumbuka kutoboa. Lakini ukienda kuanzisha kampuni ya kutengeneza shower heads na kuziwekea heater unaweza ukawa na soko constant
Naam,ukitatua tatizo fulani katika jamii,ni fursa tosha.
 
Kuhusu Kagera Kuna tatizo ambalo nadhani linaikumba mikoa mwingine pia,mosi wenyeji kubweteka kwa kuchagua kazi za kufanya,,pili tokana na Hilo la kwanza baadhi ya wenyeji kubaguana wao kwa wao kwa kuona fulani akipata hiki au kile atatamba sana dhidi ya kundi fulani,ivyo anatiliwa kauzibe ana lose,hapo ni kwa kutumia mbinu mbalimbali zikiwemo fitina,uchawi nk,mwisho wa siku hata kama mtu wa nje alitaka kuwekeza ,anaamua kuamia mkoa mwingine ivyo fursa inapotea hivi hivi,kamnobere nk,nk,,tokana na hayo unakuta wageni wanaofight kwa mbinde,ndo wanatoboa angalau,.
Kagera wanatabia ya kubaguana sana na kufanyiana figisu kwenye biashara
 
nenda fungua kilabu cha mbege kilimanjaro uone kama hutoboi 😐😐

swala la kutoboa inategemea unataka kutoboa na biashara gani na una mtaji gani sio unaenda tu mkoa wenye iyo sifa ya kutoboa ukiwa huna kitu ni dar pekeake ila hapa KLM njoo na mtaji wako usisumbue watu bana.

kama unabisha nenda kaanzishe biashara ya viyoyozi na feni mufindi uone ka utatoboa njombe hapo town lazima usote.
kila mji una fursa yake ambayo ukienda lazima utoboe.
 
Kwenye umaskini Totoro ndipo kwenye fursa kubwa. Kuna wahindi fulani wanaita Kampuni yao Shinyanga imporium walianzia maisha Shinyanga, zamani huko, kufikia miaka ya 2000 walikuwa Dsm wakisafirisha spare za baiskeli toka nje na kuuza Tanzania nzima.
Spea za baiskeli zinalipa sna! Sema inahitaji uvumilivu, tena ukileta mountain bikes ni biashara ya uhakika
 
Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
Nashangaa sana huyu mleta mada! Yaani uende mahali ukalaze mlingoti wako ukisubiri kutoboa? Thubutuuu!
 
Back
Top Bottom