Mikoa inayoongoza kwa UMALAYA

Mikoa inayoongoza kwa UMALAYA

Mkuu unataka maendeleo ya taifa yajadiliwe kwenye jukwaa hili kweli?adhani jukwaa specila la mambo hayo lipo.

Mi nataka kushangaa huyu mkuu Chamkoroma anataka kupasuka kichwa na jukwaa hili!! hapa hakuna kuwa serious, ni mwendo wa kucheka na vitu kama hivi.
 
wengine tulipigwa,tukavunjiwa majumba,tuka kaziwa dada zetu na hata kulawitiwa,ningalikunasihi uhame na siasa,uangalie mahali munasaba wa kuizungumza.
 
hivi ni kweli huko pwani lamu idadi ya mashoga imeongezeka,jamani kuna mwenyeji wa huko?
 
umalaya ni tabia ya mtu na sio mkoa, dini wala kabila!
 
Ni vema tukaangalia mada zenye maana na sio mambo yasiyo na kichwa wala miguu jamani!
 
Biashara ya kuuza mwili inakwenda na maendeleo ya kiuchumi on relative terms. Nchi nyingine wanapata liseni za biashara na kulipia mapato. Hakuna suala la mkoa, rangi, dini wala kabila hapa au kijiji. Samunge kwa Babu patakua na kambi la wanaouza miili si siku nyingi zijazo - sehemu ambayo jana tu kutamka neno baya ungelaaniwa. Airtel wenyewe wameliona hilo - wamejichimbia mapema.
 
Wanaofanya umalaya ni watu wenyewe, iweje tuisingizie mikoa? Nikiwa malaya sana Mbeya kisha nikahamia Rukwa na kuuendeleza umalaya wangu utasema ni mkoa gani malaya hapo?
jibu simple: NI YOTE MIWILI!
 
Kutokana na mwingiliano wa watu, siyo rahisi tena kujua chanzo cha tatizo, tatizo ni watu wenyewe.
 
Back
Top Bottom