Mikoa ifuatayo inatoa marijali

Mikoa ifuatayo inatoa marijali

Maana ya rijali
1. Mwanamume mwenye nguvu za kiume nguvu za kiume inaweza kuwa ni kati ya mambo makuu mawili ya fuatayo
1.Uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni (kufurahi)
2.Uwezo wa kuzaa au kutengeniza mtoto.

Hizo ni sifa kuu za rijali sasa kwa utafiti fulani niliofanya nimegundua kuwa mikoa ifuatayo inaongoza kwa kuwa na wanaume rijali na hata wanawake wa kaskazini wamekiri hivyo.

1.MBEYA-unaongoza

2.RUKWA

3.MWANZA

4.MUSOMA (mara)

5.SHINYANGA

6.IRINGA

7.RUVUMA

8.NJOMBE
Mikoa mingine inafuata hapo

Mkuu umejuaje yote hayo?acha uwakala wa kabang!
 
Zamiluni Zamiluni;10606374]Basi tuwende UKEREWE ?

Kwani ukerewe ipo mkoa gani? Au ni mkoa! Naona geography ni tatizo.

1.ukelewe ipo mwanza ni kisiwa....
2.sio mkoa jombaa
swali lako halikueleweka mara ya kwanza
ila kumbuka hawa marijali wamezagaa sehemu zote.... Ndio maana nimesema hii imikoa ni kiwanda kikubwa cha marijali
 
Acha matusi wewe. Utamwambiaje mwanaume mwenzako utumbo huo? Be a great thinker!

great thinker maana ake nini??? Sijamwambia mtu utumbo.. Nimesema marijali wapo mikoa iyo
 
Wewe ni KE ma ME?
kama ME je unao huo urijali?
Kama ni KE je mwenzio ano huo urijali?
je anatoka katika mikoa alosema?

BTW uanaume ni shida sana especially lijapo swla la urijali.
Hya kazaneni kuutafuta if not kuuongeza

1.mimi ni ME
2.ndio
3.hapana
 
Acha kudandia meli ya mgiriki wewe,hebu nionyeshe sehemu alipojitambulisha kuwa ni ME au KE.Pia nimeandika nikimhusisha na KE coz post yake inavionjo na mirindimo ya Taarabu ambvyo wahusika wake wakuu ni KE.
Acha matusi wewe. Utamwambiaje mwanaume mwenzako utumbo huo? Be a great thinker!
 
Acha kudandia meli ya mgiriki wewe,hebu nionyeshe sehemu alipojitambulisha kuwa ni ME au KE.Pia nimeandika nikimhusisha na KE coz post yake inavionjo na mirindimo ya Taarabu ambvyo wahusika wake wakuu ni KE.

sijaelewa kitu hapo
 
1-sina papuchi
2-sijaua
3- sibebi mimba
nyongeza ni kwamba mimi ni ME

Ulitumia njia gani kupata experience ya "kuridhisha" na "kumimbisha"? Au may unatimia virtual k machine kurun hiyo feminine part yako nyingine!? Yaani ulivyoandika nimekumbuka ule msemo "aisifiae mvua, ishamnyea"!
 
Maana ya rijali
1. Mwanamume mwenye nguvu za kiume nguvu za kiume inaweza kuwa ni kati ya mambo makuu mawili ya fuatayo
1.Uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni (kufurahi)
2.Uwezo wa kuzaa au kutengeniza mtoto.

Hizo ni sifa kuu za rijali sasa kwa utafiti fulani niliofanya nimegundua kuwa mikoa ifuatayo inaongoza kwa kuwa na wanaume rijali na hata wanawake wa kaskazini wamekiri hivyo.

1.MBEYA-unaongoza

2.RUKWA

3.MWANZA

4.MUSOMA (mara)

5.SHINYANGA

6.IRINGA

7.RUVUMA

8.NJOMBE
Mikoa mingine inafuata hapo

Ungeanza na kilimanjaro bhanaaaa bonge la marijali
 
Justification kwa Oral interview? Are serious? Suala la kisayansi unatumia Oral interview halafu unakuja kutoa hitimisho kwa orodha ambayo haireflect uhalisia
 
Back
Top Bottom