The navi 2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 352
- 46
- Thread starter
- #41
Shika adabu yako kuna mkoa wa marijali zaidi ya tabora
kaka tabora sijata sifa yao katika mapenzi zaidi ya kuwa na hali mbaya za kimaisha
Shika adabu yako kuna mkoa wa marijali zaidi ya tabora
Hujajibu whats the point in respect to your research?
1-sina papuchi
2-sijaua
3- sibebi mimba
nyongeza ni kwamba mimi ni ME
Dar haipo?
Ndio swali langu whats the point?
mimi ni mwanaume: nimefanya iyo tafiti kwa miaka kazaa ndio maana nikaona niulete huu uzi ili wengi wajua: hasa wavivu wa kutafuta takwimu
Je nivigezo vip vilivyotumika mpaka ukajiridhisha na utafiti wako?
acha utani.. Soma kichwa cha habari ndo pointi ilipo
[h=2]re: Mikoa ifuatayo inatoa marijali[/h]![]()
matokeo ya utafiti wako yako kwenye jarida gani ili tujisomee mkuu?
Maana ya rijali
1. Mwanamume mwenye nguvu za kiume nguvu za kiume inaweza kuwa ni kati ya mambo makuu mawili ya fuatayo
1.Uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni (kufurahi)
2.Uwezo wa kuzaa au kutengeniza mtoto.
Hizo ni sifa kuu za rijali sasa kwa utafiti fulani niliofanya nimegundua kuwa mikoa ifuatayo inaongoza kwa kuwa na wanaume rijali na hata wanawake wa kaskazini wamekiri hivyo.
1.MBEYA-unaongoza
2.RUKWA
3.MWANZA
4.MUSOMA (mara)
5.SHINYANGA
6.IRINGA
7.RUVUMA
8.NJOMBE
Mikoa mingine inafuata hapo
its very empty.........unless unataka kushauri watu wafanye nini:
- wasiende mikoa hiyo
- waolewe mikoa hiyo
- wazae na mikoa hiyo
- serikali iingilie kati
kwa hiyo mikoa iliyobaki michelemichele au vipi ?
aaaa nawewe umeona mkuu... Mikoa iliyo baki ni shiida
Mkuu leo kuwa mpole tu kwa karaha utakazozipata, maana umewashindwa kuwaheshimu kaka zetu wa Mikoa mingine, na ni very possible we mwenyewe ukawa unatokea kwetu Tanga, Bandugu kaka zangu wa mikoa mingine asiwashughulishe huyu labda anajitengenezea jina kwa nguvu
mkuu hilo ni swali ila hujajibu ukajichekesha hebu jibu kwanza
Hongera kwakukamilisha research yako kwakutembea na takribani Me wa mikoa yote na kufanikiwa kuridhishwa na wa Mikoa 8 tu!
Swali ninalo jiuliza ni je hiyo papuchi yako ipo ktk hali gani kwasasa?
Pili,je unawatoto wangapi baada ya kukamilisha utafiti wako?
Tatu,umeshaua viumbe vingapi kwasasa?
Maana utafiti wako ili ukamilike ni lazima ujiridhishe kwa kushika mimba na kufikia climax point.
sio wakiamini... Wanatakiwa kuamini na its true
nimewauliza akina dada ambao ni wake za watu na wale wasioolewa na makahaba wamekili hivo...
sio kila kitu kinahitaji hayo unayo yasema... Mfano mtu akijua mwezini kuna chemichemi sio lazima aende kujua tu inatosha