Mikoa ifuatayo inatoa marijali

Mikoa ifuatayo inatoa marijali

The navi 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
352
Reaction score
46
Maana ya rijali
1. Mwanamume mwenye nguvu za kiume nguvu za kiume inaweza kuwa ni kati ya mambo makuu mawili ya fuatayo
1.Uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni (kufurahi)
2.Uwezo wa kuzaa au kutengeniza mtoto.

Hizo ni sifa kuu za rijali sasa kwa utafiti fulani niliofanya nimegundua kuwa mikoa ifuatayo inaongoza kwa kuwa na wanaume rijali na hata wanawake wa kaskazini wamekiri hivyo.

1.MBEYA-unaongoza

2.RUKWA

3.MWANZA

4.MUSOMA (mara)

5.SHINYANGA

6.IRINGA

7.RUVUMA

8.NJOMBE
Mikoa mingine inafuata hapo
 
We kiboko, kumbe umekambwa na mikoa yetu! maana mpaka kufikia hatua ya ku-short list lazima sample iwe kubwa kwa maana ya mikoa yote. Na ili sample iwe representative lazima iwe na watu wa kutosha. Kwa maana nyingine ulipitia idadi ya kutosha kila kabila. Vip ukimwi umesalimika..maana uli test uwezo wa hiyo midume kuzalisha? na sijui umezaa watoto wangapi?
 
inamaana hao wanaume wa mikoa yote hapo walishakufunua mpaka ukadhibtsha??...ndio maana hatuoi ck hzi kama mwanamke anakua kashatumika namana hii ..
 
inamaana hao wanaume wa mikoa yote hapo walishakufunua mpaka ukadhibtsha??...ndio maana hatuoi ck hzi kama mwanamke anakua kashatumika namana hii ..

mimi ni mwanaume: nimefanya iyo tafiti kwa miaka kazaa ndio maana nikaona niulete huu uzi ili wengi wajua: hasa wavivu wa kutafuta takwimu
 
mkuu hii tafsiri yako ya nguvu za kiume (kwa red) ni ya kwako kwako au umeitoa mahali? source plz!

nguvu za kiume inaweza kuwa ni kati ya mambo makuu mawili ya fuatayo
1.uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni (kufurahi)
2.uwezo wa kuzaa au kutengeniza mtoto
 
We kiboko, kumbe umekambwa na mikoa yetu! maana mpaka kufikia hatua ya ku-short list lazima sample iwe kubwa kwa maana ya mikoa yote. Na ili sample iwe representative lazima iwe na watu wa kutosha. Kwa maana nyingine ulipitia idadi ya kutosha kila kabila. Vip ukimwi umesalimika..maana uli test uwezo wa hiyo midume kuzalisha? na sijui umezaa watoto wangapi?

nilifanya oral interview: kwa kuwauliza watu wa mikoa mingi nao wakapendekeza hiyop hapo juu.... Acha matusi
 
mkuu hii tafsiri yako ya nguvu za kiume (kwa red) ni ya kwako kwako au umeitoa mahali? source plz!

nguvu za kiume inaweza kuwa ni kati ya mambo makuu mawili ya fuatayo
1.uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni (kufurahi)
2.uwezo wa kuzaa au kutengeniza mtoto

soma wikistionary au meriam webster dictionari... Ongezea na tuki..
 
Back
Top Bottom