Mikoa ambayo iliingia uchumi wa kati kabla ya 2015

Kuna mikoa ambayo iliingia uchumi wa kati hata kabla ya 2015.. na mingine toka enzi za mwalimu.

Mikoa hiyo ji kama ifuatayo

1. Kilimanjaro

2. Mbeya

3. Njombe

4. Dar es salaam

5. Iringa (Mufindi)

6. Kagera..

Wananchi wa mikoa hii wana maisha mazuri sana, chakula kwao sio issue..

Anayebisha ajifanye anajikuna.View attachment 1509151
Taabu tupu dada yangu.
 
Yaani Tanga. Arusha na Manyara hakuna vyakula!
 
Back
Top Bottom