Mikoa ambayo iliingia uchumi wa kati kabla ya 2015

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Kuna mikoa ambayo iliingia uchumi wa kati hata kabla ya 2015.. na mingine toka enzi za mwalimu.

Mikoa hiyo ji kama ifuatayo

1. Kilimanjaro

2. Mbeya

3. Njombe

4. Dar es salaam

5. Iringa (Mufindi)

6. Kagera..


Wananchi wa mikoa hii wana maisha mazuri sana, chakula kwao sio issue..

Anayebisha ajifanye anajikuna.
IMG-20200714-WA0041.jpeg
 
Mbona uchumi wa wananchi umeshuka sana tangu 2015? Huo uchumi wa kati upo chato au kolomije?

Watz sio wajinga!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna mikoa ambayo iliingia uchumi wa kati hata kabla ya 2015.. na mingine toka enzi za mwalimu.

Mikoa hiyo ji kama ifuatayo

1. Kilimanjaro

2. Mbeya

3. Njombe

4. Dar es salaam

5. Iringa (Mufindi)

6. Kagera..


Wananchi wa mikoa hii wana maisha mazuri sana, chakula kwao sio issue..

Anayebisha ajifanye anajikuna.View attachment 1509151
Uongo. Dar es salaam inaongoza kwa kuwa na watu wanaoshinda na njaa au kushindia mihogo ya kutafuna. Unachukulia hiyo nayo kama sifa ya uchumi wa kati??
 
Back
Top Bottom