Mikoa 5 ambayo ukiwa na laki haiishi

Mikoa 5 ambayo ukiwa na laki haiishi

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,258
5. SONGEA (Ruvuma)
Hapa kitu ambacho ni Ghali sana ni nauli ya Super Feo tu kama unatoka Songea kwenda Mwanza nayo ni 90000 Laki Haiishi wakuu

4
. BUKOBA (Kagera)
Pamoja na Ujuaji wao wakiwa mikoa mingine au shuleni ila unaambiwa Bukoba hamna sehem unaweza Tumia laki ikaisha

3. NJOMBE

Kuna Sehemu Watu wamelazimisha Tu Kukaa ila Palitakiwa kua sio makazi ya watu pawe ni shamba la miti napo hakuna sehem ya kumaliza laki

2. MTWARA

Hapa penyewe hamna kitu cha kununua Laki ikaisha

1. KIGOMA
hapa huwezi kupatoa namba 1 kwa muda mrefu inapatetea hata kama ni wewe kigoma unamalizaje Laki [emoji23] hata kama unaweza kutumia hela
 
5. SONGEA
Hapa kitu ambacho ni Ghali sana ni nauli ya super feo Tu Kama unatoka Songea kwenda Mwanza nayo ni 90000 Laki Haiishi wakuu

NAMBA 4

BUKOBA
Pamoja na Ujuaji wao wakiwa mikoa mingine au shuleni ila unaambiwa Bukoba hamna sehem unaweza Tumia laki ikaisha

NAMBA 3

NJOMBE
Kuna Sehemu Watu wamelazimisha Tu Kukaa ila Palitakiwa kua sio makazi ya watu pawe ni shamba la miti napo hakuna sehem ya kumaliza laki

NAMBA 2

MTWARA
Hapa penyewe hamna kitu cha kununua Laki ikaisha

NAMBA 1

KIGOMA

Copy n paste toka twitter
 
Ko, madem wa huko wanahongwa sh ngp🤣🤣
 
Singida huwezi maliza laki pia vile vile Tabora yaani, bila kusahau Tanga kama Tanga.
 
5. SONGEA
Hapa kitu ambacho ni Ghali sana ni nauli ya super feo Tu Kama unatoka Songea kwenda Mwanza nayo ni 90000 Laki Haiishi wakuu

NAMBA 4

BUKOBA
Pamoja na Ujuaji wao wakiwa mikoa mingine au shuleni ila unaambiwa Bukoba hamna sehem unaweza Tumia laki ikaisha

NAMBA 3

NJOMBE
Kuna Sehemu Watu wamelazimisha Tu Kukaa ila Palitakiwa kua sio makazi ya watu pawe ni shamba la miti napo hakuna sehem ya kumaliza laki

NAMBA 2

MTWARA
Hapa penyewe hamna kitu cha kununua Laki ikaisha

NAMBA 1

KIGOMA
hapa huwezi kupatoa namba 1 kwa muda mrefu inapatetea hata kama ni wewe kigoma unamalizaje Laki [emoji23] hata kama unaweza kutumia hela
Acha kuishi kwa hisia, kwanza inaonekana hata hujafika hiyo mikoa. Hiyo laki haiishi kwa muda gani. Ina maana umekosa kabisa kitu cha maana cha kuandika?
 
5. SONGEA
Hapa kitu ambacho ni Ghali sana ni nauli ya super feo Tu Kama unatoka Songea kwenda Mwanza nayo ni 90000 Laki Haiishi wakuu

NAMBA 4

BUKOBA
Pamoja na Ujuaji wao wakiwa mikoa mingine au shuleni ila unaambiwa Bukoba hamna sehem unaweza Tumia laki ikaisha

NAMBA 3

NJOMBE
Kuna Sehemu Watu wamelazimisha Tu Kukaa ila Palitakiwa kua sio makazi ya watu pawe ni shamba la miti napo hakuna sehem ya kumaliza laki

NAMBA 2

MTWARA
Hapa penyewe hamna kitu cha kununua Laki ikaisha

NAMBA 1

KIGOMA
hapa huwezi kupatoa namba 1 kwa muda mrefu inapatetea hata kama ni wewe kigoma unamalizaje Laki [emoji23] hata kama unaweza kutumia hela
Kweli ufike Manispaa ya Songea uingie Ruhuwiko Hunt club au canopies Hotel hiyo laki si haitoshi hata hela ya chumba.

Sema laki haiishi kama utakua unakula kwa mama ntilie na Kulala guest house.
 
Back
Top Bottom