yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 978
- 1,716
Kuhusu kagera ukienda na plan unatoboa lkn ushirikina ni mwingi kwenye biashara
Narudia tena mbeya utalima mpunga,viazi,parachich,kokoa,migomba,utavua samaki,utalima mboga mboga,utachimba madini, na vingne ving sana11. Mbeya
12. Iringa
13. Njombe
14. Kigoma
15. Rukwa
Hio Mbeya nilizuiwa kabisa nikaambiwa komaa huko huko Dar huku ukija hautoboi, sijui aliona nini yule mtu
NAKAZIA..Kigoma hasa wilaya ya Kasulu hela ipo asee,,mzunguko wa hela pale ni mkubwa mno nilipapenda sana
Chai1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Tanga
4. Dodoma
5. Lindi
6. Mtwara
7. Mara
8. Kigoma
9. Singida
10. Simiyu
H Ahahaha11. Mbeya
12. Iringa
13. Njombe
14. Kigoma
15. Rukwa
Hio Mbeya nilizuiwa kabisa nikaambiwa komaa huko huko Dar huku ukija hautoboi, sijui aliona nini yule mtu