The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,614
Huyu jamaa umri wake umeenda sana. Utavaaje chupi hadharani? AGRRRRR
NdioBora angevaa bikini au sio
Bila shaka kakuelewa ila avatar yako anaweza asielewe kabisa akakuuliza tena.Binafsi najua hadharani ni sehemu ya nje au yenye watu wengi, hy n sehemu ya ndani akifanya mazoezi hvy hakuna watu wengi, bila shaka mtoa mada umenielewa lbl ukakamaze ubongo.
Mnakera kwa kuvaa chupi hadharaniBinafsi najua hadharani ni sehemu ya nje au yenye watu wengi, hy n sehemu ya ndani akifanya mazoezi hvy hakuna watu wengi, bila shaka mtoa mada umenielewa lbl ukakamaze ubongo.
Avatar yangu haina shida mana hapo n ndan kwahy n lazima nitawale nyumba ntakavyo.
Bila shaka kakuelewa ila avatar yako anaweza asielewe kabisa akakuuliza tena.
Huyu jamaa umri wake umeenda sana. Utavaaje chupi hadharani? AGRRRRR
View attachment 1572924View attachment 1572925
Hapana haupo ndani unajua mi ninapoangalia naona kama vile ni wewe unaniangalia pia.Avatar yangu haina shida mana hapo n ndan kwahy n lazima nitawale nyumba ntakavyo.
Unapenda kunifatilia fatilia ndo mana nakuangalia.Hapana haupo ndani unajua mi ninapoangalia naona kama vile ni wewe unaniangalia pia.
😁Unapenda kunifatilia fatilia ndo mana nakuangalia.