Mikataba ya mangungo katika jina la Uwekezaji

Mikataba ya mangungo katika jina la Uwekezaji

Sasa mtu na akili yako unamsikiliza mpuuzi aliyefeli ualimu shule ya msingi?

Hiyo DP World tu efficiency yake waulize watu wa Trucks wakuambie, vitu vingine ni kujidhalilisha tu. Tender ya Dart imetangazwa hamjaomba alafu mnakuja kulalama amepewa mwarabu au mlitaka apewe Lema bure??
Unaweza kuelezea kitu gani kimesababisha mradi wa mwendokasi kufeli
 
Back
Top Bottom