Mikataba inasainiwa "gizani", Ripoti inakabidhiwa hadharani! Tuendelee kushangilia?

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
8,084
5,208
Kuna mambo yanatafakarisha sana. Na hili ni miongoni mwa mambo hayo! Leo ripoti ya pili ya "wataalamu" (wanasheria na wachumi) inakabidhiwa kwa Rais. Tangu juzi kumekuwa na hamasa kubwa mitandaoni ya kututaka wananchi leo tukae mbele ya tv kutazama tukuo hilo.

Kuna tuswali twa kujiuliza:
1. Kama mikataba ya madini tuliyoingia ilisainiwa "gizani" kwanini ripoti iliyochunguza mikataba hiyo hiyo inakabidhiwa hadharani huku vyombo vyote vya habari vikitakiwa kusitisha shughuli zingine na kuhamia kwenye tukio hilo?

2. Kama kuna vipengele vya kisheria vinavyotaka kuwepo kwa "usiri" kwenye mikataba hiyo (kama ambavyo huwa tunaambiwa [wanasheria wanaweza kunisaidia hapa]) hiki kinachofanywa sasa hakina athari yeyote kisheria?

3. Hao wanaotaka ripoti hizo zikabidhiwe hadharani lengo lao ni nini hasa?

4. Je, ni sawa na ina tija kwetu wanyonge kiasi cha kushangilia mno, ripoti ya uchunguzi kuhusiana na mikataba ya ACACIA kukabidhiwa hadharani, lakini mikataba ya ununuzi wa bombadier; na mengine kufanyika gizani?

Na mimi pia ni mzalendo!
 
Shikamoo braza.

Kwa hili la Bombadier, "unamfukuza afadhali, unamkaribisha potelea mbali"
 
hivi kwa nini hiyo mikataba isijadiliwe na bunge au wananchi alafu ndo ndo tujadili kuhusu report?
 
Kuna mambo yanatafakarisha sana. Na hili ni miongoni mwa mambo hayo! Leo ripoti ya pili ya "wataalamu" (wanasheria na wachumi) inakabidhiwa kwa Rais. Tangu juzi kumekuwa na hamasa kubwa mitandaoni ya kututaka wananchi leo tukae mbele ya tv kutazama tukuo hilo.

Kuna tuswali twa kujiuliza:
1. Kama mikataba ya madini tuliyoingia ilisainiwa "gizani" kwanini ripoti iliyochunguza mikataba hiyo hiyo inakabidhiwa hadharani huku vyombo vyote vya habari vikitakiwa kusitisha shughuli zingine na kuhamia kwenye tukio hilo?

2. Kama kuna vipengele vya kisheria vinavyotaka kuwepo kwa "usiri" kwenye mikataba hiyo (kama ambavyo huwa tunaambiwa [wanasheria wanaweza kunisaidia hapa]) hiki kinachofanywa sasa hakina athari yeyote kisheria?

3. Hao wanaotaka ripoti hizo zikabidhiwe hadharani lengo lao ni nini hasa?

4. Je, ni sawa na ina tija kwetu wanyonge kiasi cha kushangilia mno, ripoti ya uchunguzi kuhusiana na mikataba ya ACACIA kukabidhiwa hadharani, lakini mikataba ya ununuzi wa bombadier; na mengine kufanyika gizani?

Na mimi pia ni mzalendo!

Wakati wa kula hatuongei wala hatunawi mikono,tukishashiba tuletee sabuni na maji
 
Mkuu toka Mkuu wa Nchi achukue Nchi tumeona Mikataba yote ikisainiwa hadharani sasa unataka Makosa ya Nyuma Yahalashwe..??? We have to change
 
Kwani uongo au ww ulitaka itolewe nyumbani kwako acha ujinga hili ni suala la kitaifa hivyo lazima litolewe hadharani ili watanzania wote waweze kujua
Nani mjinga? Wewe au mimi? Mimi ninashangaa kwanini mikataba ifanywe gizani lakini ripoti kuhusu mikataba hiyo hiyo isomwe nuruni? Mkataba wa Bombadier umefanyika gizani (au mwenzetu unaujua)? Ungekuwa na akili ungeungana na mimi kushangaa!
 
Mkuu toka Mkuu wa Nchi achukue Nchi tumeona Mikataba yote ikisainiwa hadharani sasa unataka Makosa ya Nyuma Yahalashwe..??? We have to change
Hiyo hadharani unayoizungumzia ni ya namna gani? Vyombo vya habari vilishirikishwa kwa kiwango gani katika mikataba inayohusu ununuzi wa ndege?
 
Tumpe Magufli ushirikiano hakuhusika ku-sign hiyo mikata,watangulizi wake ndio waliohusika.Let's together clear this mess.
 
Utasikia tumesaini mikataba 17 kwa dakika kumi tu ! Bunge ndo lingepewa mamlaka ya kusaini mikataba
 
Back
Top Bottom