Mikasa ya mahusiano ya shule

Hayo mahusiano yalikiwa yanajulikana shule nzima kuna siku ikaitishwa kura ya shule nzima watu kutaja nani anatoka na nani. Kwenye hiyo kura na Mimi na pisi yangu tumo with flying colors [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila tuliponankwasababu mwalimu aliyekuwa anaendesha Hilo zoezi alikuwa mshikaji wangu kwasababu nilikuwa nafanya vizuri sana somo lake ndio pona pona yetu
 
Kibungo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: EEX
Nikiwa O level, nlikua na Ba tamuu, ila shule tofauti.

Tulikua tuna meet wakat wa likizo, sasa tulkua tunasoma tuition, tukitoka tunazurura town, tunapita cafe na bakery, ila kujunjana nilikua muoga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilivyofika Advance ndo nilifaidii mahusianooo, nisiseme sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas.
Udugu yule jamaa alinirudia kuniambia ananipenda baadae uko na kizawadi cha simu kutoka Japan πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kanikuta lamomy, nimekuwa Lamomy kweli!!
Alikuwa anapenda kuniita Beyonce na me namuita Jigga na lile body lake na ameenda hewani bas tafrani alikuwa anacheza basketball. Siku tunakutana na wale rafiki zake wakawa wanamwambia β€œkwahiyo mwanetu kipindi kile ulikuwa unatu snitch?” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anamchomea utambi mwenzie kumbe nae anakupenda hahaa 😁😁!
Mapenzi ya utoto vituko sana!
Jamaa alikuwa anazingua, yani nikionana naye ananipongeza kabisa na kunikanya juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani ndio ulianza kunjunjwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wenye thread zenu pendwa mmeingia,kwahiyo hutaki kusema walikukula ukiwa mdogo? 🀣🀣

Ngoja nikalime,mnatudanganya sana🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinambieee, uduguu mbna pambeeee.
 
Wenye thread zenu pendwa mmeingia,kwahiyo hutaki kusema walikukula ukiwa mdogo? [emoji1787][emoji1787]

Ngoja nikalime,mnatudanganya sana[emoji1787]
Amesema mahusiano ya shule, na mie ndo nimeeleza hivyo.

Ikija mada ya lini ulianza kutia/kutiwa, mbna ntafunguka vyedii mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…