Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Daah acha ibaki moyoni mwangu mkuu kwani nakumbuka niliwahi kumsimulia jamaa fulani aisee nilikumbwa na matukio ya ajabu ajabu, pia kuna dogo ambaye yeye alivyoondoka tuu ktk yale mazingira ya nyumba ile alitutumia sms iliyokua ikisema" hapo msiishi kiboya huyo mzee mchawi atawatoa musukule lakini tulichukulia kawaida.

Ila huo muziki uliotukuka si mchezo halafu dzaini kama alitupumbaza yaani tusifikiri chochote kile, mkuu ile oysterbay na masaki wanaoishi kule si watu wa mchezo mchezo wanafuga misukule si kitoto.
pole sana asee
 
Wakuu habarini za mchana?,bila shaka Mungu amewajaalia afya njema.Poleni pia kwa majukumu ya haya masumbufu ya maisha,Mungu ni mwema atafungua njia kwa wote wasumbukao na wenye kulemewa na haya maisha.

Kitabu kimetoka na kiko tayari kabisa,ila kutokana na maboresho kukifanya kuwa bora,gharama za uchapaji ziliongezeka kidogo na hivi sasa kinapatikana kwa gharama ya Tsh 10000/=tu,hivi sasa nipo Morogoro kuna jambo lilinileta huku linalohusu vijana namna ya kujitambua ambapo msimamizi mkuu ni ELIMIKA TANZANIA,hivyo niwaombe mlioko Morogoro na mnahitaji kitabu cha UTAJIRI WA NGUVU ZA GIZA ULIVYOHARIBU MAISHA - Sehemu ya 1,tafadhali nifahamisheni ndugu zangu. Watu wa Dar es salaam na mikoa mingine ambako nilikuwa nimepewa oda,kuanzia Jumatatu nitawafikia.

Watu wa Morogoro nipo kuanzia leo Ijumaa tarehe 5 mpaka tarehe 7 siku ya jumapili.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie hapa +255683588226
 
Shusha vitu kwanza mkuu.. tuone ulichomfanya mtoto wa dada yaani ukishasoma stori yote makini kama hii, unaweza ukaomba uwakala wa vitabu kabisa! Shusha vitu..
 
Kwahiyo Mkuu Simulizi kwa huku Jf ndio imeisha kiivyo au?
tafadhali tunaomba ufafanuzi , tujiandae kisaikolojia.
 
au ilikuwa bonus kwa ajiri ya uzinduzi wa kitabu...?
Naamini umetubu na upendi hela tena unampenda Yesu...basi toa huduma hii bule kama ufanyavyo na kusimulia hapa haitatufanya tusinunue kitabu.

So mwaga mambo LwandaMagere....
 
Mkuu hivi kweli uko serious?,aliyekwambia mtu aliyetubu dhambi alizofanya hapendi pesa ni nani?,hujui pesa ndiyo inayoendesha maisha ya mahitaji yetu ya kila siku?,na aliyekwambia kwamba nimesitisha masimulizi ni nani?,Mimi nimetoa tangazo la namna ya watu kupata vitabu,wewe unaleta ujuaji mwingi usiyokuwa na faida,Quran na Biblia ni vitabu vitakafu lakini bado vinauzwa,hata hao wanaovigawa bure unakuta wamevinunua mahali.
Hiki kisa hapa nitaendelea kukisimulia lakini lazima na watu wanaotaka kopi za vitabu wajipatie maana kwanza kuna kisa humu sikukimalizia lakini kwenye kitabu kitakuwepo,pia kuna mambo ya kikatili niliyafanya ambayo hapa sitaweza kuyazungumza lakini kwenye kitabu yapo,pia wengine huwa wanataka kitabu kama kumbukumbu,hivyo mkuu msiwe mnapenda kupotosha.

Mimi mwenyewe ndiye niliamua kusimulia historia ya maisha yangu,hukunituma wewe,hivyo muda mwingine ni vema ukatulia wanaoweza watanunua.
 
Basi lwanda jamani usije ukasusa tupo tunakusubiri hata ukirudi kutoka morogoro tupo sisi
 
Daaah pole sana kama tumekukwaza mkuu tushazoea 2 kwa moja daily....mie ntahitaji copy moja mkuu ya hiki kitabu mkuu.
Usikasirike kaka tuko pamoja...mkuu.
 
au ilikuwa bonus kwa ajiri ya uzinduzi wa kitabu...?
Naamini umetubu na upendi hela tena unampenda Yesu...basi toa huduma hii bule kama ufanyavyo na kusimulia hapa haitatufanya tusinunue kitabu.

So mwaga mambo LwandaMagere....
We jamaa utakua na homoni za kike wewe ,mwanaume unakua Kama demu ,umetukera sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom