Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Aisee..noma,huyu lwanda magele ndo ninaye mfatilia RFA au mwingine?
 
Pole mkuu kwa kumpoteza Maza, pia niseme kitu kimoja unajua mara nyingi wachawi au mtu aliye na maagano ya kichawi wanakuaga hasira sana na hawaoni shida kukupoteza
 
Utajiri wa mganga+kafara ya mama

Ni kama chanda na pete kwanini ndugu mwandishi?
 
Nikisoma historia yako upande mmoja nahisi hutakiwi kupata msamaha kwa watu na kwa MUNGU maana umeumiza watu wasio na hatia, yaani uchukue mkewe na kumuua umuue pamoja na watoto wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom