Mikasa/vituko vya lodge

kitalembwa

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
2,859
7,126
Wasalaam!

Kwenye haratakati za hapa na pale nilishawahi kukutana na Mikasa kadhaa ya lodge/gest nilizowahi kulala !

1. Dar es Salaam
Nilienda lodge moja nzuri tu yenye hadhi, kufika reception mhudumu akanipatia chumba, nikasain na kulipa! Nikakumbuka sina Kinga nikarudi kuuliza Kama wanauza, kalikuwa kadada hivi, yaani kalishangaa vile kama nimeulizia kitu Cha ajabu Sana, akasema hana nikarudi room, nikampigia mgeni wangu aje Nazo! Ajabu pale room ukutani kulikuwa na Sheria zao, mojawapo inasema mteja haruhusiwi kuingia au kutumia kilevi akiwa mle, mimi nilikuwa na take away zangu nimeingia Nazo, kwa jeuri nilivyoondoka niliziacha chupa! Mpaka leo najiuliza ile ni lodge au hostel? Mmiliki ni mchungaji? Yule mhudumu alikuwa mtawa? Ajabu Sana !

2. Mahenge- Ulanga
Miaka fulani kabla daraja la kilombero halijatengenezwa , nilipata safari ya huko , nilifika usiku Sana, (enzi za Moro best/alsaedy, now sijui ni bus gani zinaenda huko), nikapanda boda inipeleke lodge/Gest, tulienda sehemu Kama mbili nafasi zimejaa, tunapata moja, Bei ilikuwa 5000, dah kitanda Kama kaburi, Yani Ni zege limetengenezwa godoro linawekwa juu unaambiwa karibu ! Nilikaa Kama siku 4, asubuhi nilihama kutafuta lodge nyingine !

3. Babati
Nilikuwa nasafiri, nikafika jion, sikuwa na uharaka wa kuunga safari, nikaona nipumzike na kuyasoma mazingira, lodge moja hivi nilishukia, Yule mhudumu wakati ananisainisha, nikamtania kidogo! Nikaenda room, nikaoga nikatoka kwenda kula na kupata kinywaji , wakati narudi kulala yule mhudumu wakati ananipa funguo, naona anacheka cheka, ! Aft 4/3 mins akaja kugonga anauliza mbona Niko alone? Nikihitaji kampani nimuambie , nikajibu sawa! Dem akijirahisisha Sana napoteza mzuka!

4. Shinyanga
Muda mwingine shughuli zangu zinanilazimu kusafiri safiri hasa wilayani anghalabu, siku nimefika usiku kwa uchovu wa safari nikatafuta sehemu ya kupumzika, napewa room, nakuta ndoo mbili za zimejaa maji na kopo! Aloo, nakumbuka sikuoga, asbh nilinawa uso kwa maji nilokuwa nayo ya kunywa, nikaondoka zangu!

Visa Ni vingi, nilishawahi kuibiwa bag Lina doc kadhaa, Ni ile unafika unalipa siku kadhaa, then unavyotoka asbh unamuachia mhudumu funguo ili afanye usafi, narudi nimeibiwa baadhi ya vitu, mhudumu ooh Kama uliingiza mwanamke akakuibia na kweli sikua nimeingiza mwanamke, nilileta shida, hadi boss wake akaja, ananitisha ananipeleka police, Mara nasumbua wateja, nikamwambia tangulia nikukute huko, nakuapia hii nyumba utaigeuza Banda la kuku, mikwara kibao, akaanza kushuka, tukayajenga kiume, nikatumiwa doc nyingine nikaenda kuziprint.
 
Mi nlichukua room Gest kwa ajili ya mgegedo na Dem wangu. Ile tumeingia kuanza mgegedo.

Kama dk 10 za mwanzo, tukaanza kusikia kilele kwenye makorido. Mara wagonge kwenye mlango wetu.

Mara tusikie "Bwana Yesu asifiwe". Kumbe Gest ilikodiwa na wanakwaya, walikuja kwenye Xmas.

Mzuka wote ulikata, sikuweza kuendelea. Nilishuka, mgegedo ukaishia hapo.

Yule demu alinimaindi mno eti tuendelee.
 
Nilikuwa na hamu sana na papuchi nilipofika tu nikavua nguo sasa napiga simu demu wangu yuko mbali sana nikasema ngoja nijilaze kitandani usingizi ukanipitia. Kuja kushtuka nakuta niko uchi bado na mlango uko wazi kumbe sikulock aisee.

Nawazaga tu hivi hakuna aliyenipiga picha kweli, siku nikikuta picha zangu huko mtandaoni nimelele huku dudu limesimama sitoshangaa 😬
 
Mi nlichukua room Gest kwa ajili ya mgegedo na Dem wangu. Ile tumeingia kuanza mgegedo. Kama dk 10 za mwanzo, tukaanza kusikia kilele kwenye makorido. Mara wagonge kwenye mlango wetu. Mara tusikie "Bwana Yesu asifiwe". Kumbe Gest ilikodiwa na wanakwaya, walikuja kwenye Xmas. Mzuka wote ulikata, sikuweza kuendelea. Nilishuka, mgegedo ukaishia hapo.
Yule demu alinimaindi mno eti tuendelee.
Wanakwaya walileta shida siyo😃😃
 
Back
Top Bottom