Sidhani maana huyo mama alikuwa mwema sana,nadhani ni mambo ya Mungu tuKuna mtu walimkosea akafanya malipizi kienyeji........
Kwahiyo mama yangu afanye hayo ili apate nini? mamq yangu alikuwa mama wa nyumbani,hakuwa na elimu yoyote ile,ameondoka tanzania na mumewe akiwa hajui kusoma wala kuandika,kasomea huko nje.Ni mama ambae alikuwa anajua kiangalia nyumba yake,mumewe na watoto wake,na alikuwa na marafiki wengi sana na wote aliishi nao kwa amani na furahaIngekuwa USA,mama yako angekuwa suspect number one
Sio kwa wema huo
Kikukacho kinguoni mwako
Panya hupuliza huku akikuuma
DuuhIngekuwa USA,mama yako angekuwa suspect number one
Sio kwa wema huo
Kikukacho kinguoni mwako
Panya hupuliza huku akikuuma