Mikanda ya abiria (seat belt): Je abiria wapo makini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikanda ya abiria (seat belt): Je abiria wapo makini!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Twilumba, Apr 26, 2011.

 1. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 870
  Trophy Points: 280
  Tarehe 20 april, nilisafiri kwa basi la kampuni ya hood kutoka dar kwnd Morogoro, katika safari hyo nimeona kuwa bado abiria wengi hawajatambua umuhimu wao kufunga mkanda ya usalama wakiwa kwny safari, lakini hali hii inachangiwa na Baadhi ya wamiliki wa magari hayo ya kusafirisha abiria kutokutilia maanani suala la kuwahimiza wahudumu wa mabasi kuwahmiza abiria juu ya kufunga mikanda mara wanapoanza safari na mabasi hayo.
  Kipindi fulani skumbuki exactly date and year, Sumatra walikomaa kuwaambia wamiliki wa mabasi kuhakikisha mabasi yanakuwa na mikanda ya abiria (seat belt), ukweli ni kwamba mabasi mengi yamefanya hvyo hata hvyo dhana nzima ya kuweka mikanda hyo haipo kwa sababu abiria hawaelimishwi umuhimu wa hy mikanda.

  Ushauri:
  Sumatra waamuru wamiliki wa mabasi kupitia wahudumu wa mabasi wawaeleshe abiria umuhimu wa kufunga mikanda na pengine kuwe na ukaguzi kabla na baada ya basi huska kuanza safari. Isiishie kwa wamiliki kubandika karatasi iliyoandkwa 'Funga mkanda' bali kusistiza na si kama suala la abiria kuamua kufunga mkanda iwe LAZIMA!

  Nawasilisha kwa michango yemu WanaJF!
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 870
  Trophy Points: 280
  wajameni michango tafadhali!
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Abiria wengi hawako makini mimi mwenyewe nimeshuhudia mara nyingi ninapokuwa safarini. Kitu kinachosikitisha hata zile safari ndefu kama za mwanza - dar watu hawajali. Nimegundua pia utingo wa mabasi hawawakumbushi abiria kufunga mikanda ni magari machache sana ambayo abiria wanakumbushwa kufunga mikanda. Inabidi ifike wakati itungwe sheria itakayomlazimu kila abiria afunge mkanda vinginevyo atozwe faini au aswekwe rumande kwa siku mbili au tatu.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  na hao askari wa barabarani wamekalia rushwa tu, ni wajibu wao kuhakikisha usalama wa wasafiri, na pia wale askari wanaopima speed wawe wanabadili sehemu za kusimama, madereva wamekariri kwa hiyo wakifika karibu wanapunguza mwendo,hilo nalo walitizame
   
 5. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Abiria wengi hawako makini mimi mwenyewe nimeshuhudia mara nyingi ninapokuwa safarini. Kitu kinachosikitisha hata zile safari ndefu kama za mwanza - dar watu hawajali. Nimegundua pia utingo wa mabasi hawawakumbushi abiria kufunga mikanda ni magari machache sana ambayo abiria wanakumbushwa kufunga mikanda. Inabidi ifike wakati itungwe sheria itakayomlazimu kila abiria afunge mkanda vinginevyo atozwe faini au aswekwe rumande kwa siku mbili au tatu.
   
Loading...