Elections 2010 Mikakati ya ubunge oktoba 2010

saitama_kein

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
981
99
Wadau na wapenda mabadiliko....natangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la UKONGA kwa tiketi ya CHADEMA.
Michango ya mawazo, ushauri na ki-mikakati inakaribisha!
Sihitaji michango ya pesa kwa sasa....
Asanteni sana...
Mungu ibariki JF, CHADEMA & Tanzania
 

CHADEMA wameisha kupitisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…