Heri ya Mwaka mpya wana JF wote!
mwaka 2012 JF sikutimiza malengo yangu yote
mimi niliingia humu JF ili niopoe mdada angalau mmoja humu lakini jitihada ziligonga
mwamba wadada wa humu ni wajanja sana mitego yote wamekwepa
lakini sio mbaya JF imenielimisha, imeniburudisha,
Mipango yangu ya mwaka 2013:
-Nitaludi FB kule najua nitaopoa wengi sana.
-itabidi niombe kazi ya kuwa moderator humu hii itanisaidia angalau..
-----HAPPY NEW YEAR WANA GREAT THINKER---------