name of names
Member
- Aug 13, 2015
- 35
- 5
Umemaliza? Haya kalale. Kesho ukiamka utakuta lowasa kachukua nchi mapema asubuhiiiiiiiiiii
Yule mzee yuko mahututi jamani tuambizane ukweli. yule ni mgonjwa kupita vile watu wanavyofikiria. utachaguaje maiti kuwa raisi!!!!
dada kwa nini huna hoja zaidi ya ugonjwa wa mtuYule mzee yuko mahututi jamani tuambizane ukweli. yule ni mgonjwa kupita vile watu wanavyofikiria. utachaguaje maiti kuwa raisi!!!!
Wadau amani iwe kwenu,
Leo nikiwa ndani ya viunga vya chadema maeneo ya ufipa napenyezewa mipango mbalimabli ambayo inaendelea kupangwa ili kuhakikisha kuwa kampeni zinakwenda vizuri huku heshima ya mgombea wao Edward Lowasa inalindwa na kuficha baadhi ya mapungufu yake yasiweze kubainika hatimaye yakaathiri kuaminika kwake kwa jamii.
Miongoni mwa mipango inayopangwa ni kuhakikishwa kuwa Lowasa anazungumza mda usiopungua dk kumi tu pale atakapokuwepo kwenye mikutano ya kuomba kura katika maeneo mbali mbali.
Nilitaka kujua kwanini chadema wamepanga mgombea wao azungumze dk kumi mda ambao unaonekana ni mchache sana kwa mgombea urais kuweza kujinadi na kueleza vizuri sela na mipango yake kwa watanzania ambao kwa kiasi kikubwa watakuwa wanataka kusikia kutoka kwake atawafanyia nini watanzania kwa kutumia njia zipi.
Mtu wangu ameniambia kuwa chadema wamegundua kuwa mgombea wao afya yake siyo nzuri hivyo endapo atatumia mda mwingi kuzungumza hata weza hivyo upo uwezekano wa mgombea wao kuanguka au kushindwa kabisa kusimama kwa mda unaozidi dakika kumi.
Kwa mantiki hii naona kasolo kubwa kwa mgombea wa chadema na ukawa kwa ujumla kama kweli afya yake ndiyo iko hivyo,nitoe angalizo kwa watanzania kuwa Loawasa hafai kuwa kiongozi kama afya yake haimwezeshi kusimama zaidi hata ya dk kumi.
Hata kama yupo kitandani kura yangu ameipata