Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,172
Ikiwa ni muda sasa tangu lowassa alikaribiswa, akapokelewa,akatambulishwa,akuchukua fomu za kugombea uraisi na hatimaye kurudisha na kupokelewa makao makuu ya CHADEMA huku kukiwa na sintofahamu kwa pande mbili zinazokinzana yani wanaomkubali Lowassa na wasiomkubali,taarifa za siri zinasema mambo yako shwari ktk umoja huo,kinachofanyika ni mkakati was kisiasa (political strategy)ktk kujiimarisha ambapo hucheza na saikolojia kama ifuatavo tukiegemea zaidi CHADEMA,

1.Slaa, Lisu na Mnyika na wengineo kutokuwepo katika utambulisho ili kuvuta attention ya watu ambapo yatasemwa mengi kupitia medias na maoni ya watu binafsi na social medias hivo uenezi wa umoja huo kiaina ambapo hili limefanikiwa.

2.Tundu Lisu kujitokeza akikanusha habari za kutokukubaliana na ujio wa Lowassa na kusisitiza maamuzi yaliyofanywa na vikao halali vya chama na umoja huo ambapo limefanyika.

3. viongozi, wabunge na wanachama kujitokeza kumpokea Lowassa katika kurudisha fomu za uraisi ambapo tumeshuhudia kina Mabere Marando, Professor Safari na wengine wakimpokea Lowassa ambapo limefanyika juzi vizuri.

4. ukimya wa Docta Slaa kuendelea ili kuutangaza umoja huo na mgombea kupitia wale wanaotamani ajiondoe chamani wakijivika mwavuli wa wanamapinduzi halisi dhidi ya wale wasimamiao msimamo wa umoja na maamuzi ya vyama ambapo linafanyika sasa hivi.

5. Docta Slaa kujitokeza hadharani na kutegua kitendawili cha sintofahau iliyodumu kwa muda kwa kuvunja ukimya akionyesha msimamo wake na kusapoti maamuzi yaliyofikiwa juu ya Lowassa ambapo litafanyika rasmi siku ya utambulisho rasmi wa mgombea wa uraisi kupitia UKAWA na ufunguzi rasmi wa kampeni nchi nzima ambapo mwendo utakua mchakamchaka mpaka uchaguzi.

SIASA NI MIPANGO,MIKAKATi NA SAIKOLOJIA.
 
Hizi ni tetesi ama ni hisia zako tu?
 
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee

Edi
 
Wanpoteza muda wao hao wasiokuwa na kazi za kufanya. Ukawa ndio habari ya mujini na haondoki mtu ni mchaka mchaka hadi magogoni, na hakuna kulala hadi kieleweke
 
cdm wajanja sana. huo mgawanyiko ni wa kutengeneza ili kuzuia mapingamizi ya maccm. baada ya uteuzi tutashuhudia mashambulizi ya hatari. mark my words.
 
Jamani, huu ni ushauri tu. Haya mambo ya kuandika andika vitu, hasa kashfa bila kufikiria madhara yake ni hatari sana. Je unajua Mzee Slaa akipeleka madai yako mahakamani unaweza kufungwa au kulipa faini? Kuweni waangalifu jamani, msichukulie mambo kienyeji kienyeji yanaweza yakawaliza machozi ya damu. Ni bora kuropoka baadaye ukakana kuwa hukusema, lakini ukiandika unakuwa umejihukumu. Mahakimu bado wana wajibu wa kufanya kazi kwa uadilifu pamoja na kuwepo na umaskini na shinikizo za kisiasa, lakini wengi wana wajibu wa maadili kwenye utendaji kazi wao. Jihadhali usijekuwa wa kwanza kwenye mageuzi!
 
ikiwa ni muda sasa tangu lowassa alikaribiswa, akapokelewa,akatambulishwa,akuchukua fomu za kugombea uraisi na hatimaye kurudisha na kupokelewa makao makuu ya CHADEMA huku kukiwa na sintofahamu kwa pande mbili zinazokinzana yani wanaomkubali Lowassa na wasiomkubali,taarifa za siri zinasema mambo yako shwari ktk umoja huo,kinachofanyika ni mkakati was kisiasa (political strategy)ktk kujiimarisha ambapo hucheza na saikolojia kama ifuatavo tukiegemea zaidi CHADEMA,
1.Slaa,lisu na mnyika na wengineo kutokuwepo ktk utambulisho ili kuvuta attention ya watu ambapo yatasemwa mengi kupitia medias na maoni ya watu binafsi na social medias hivo uenezi wa umoja huo kiaina ambapo hili limefanikiwa.
2.Tundu lisu kujitokeza akikanusha habari za kutokukubaliana na ujio wa Lowassa na kusisitiza maamuzi yaliyofanywa na vikao halali vya chama na umoja huo ambapo limefanyika.
3. viongozi,wabunge na wanachama kujitokeza kumpokea Lowassa katika kurudisha fomu za uraisi ambapo tumeshuhudia kina Mabere marando,professor safari na wengine wakimpokea Lowassa ambapo limefanyika juzi vizuri.
4. ukimya wa Docta Slaa kuendelea ili kuutangaza umoja huo na mgombea kupitia wale wanaotamani ajiondoe chamani wakijivika mwavuli wa wanamapinduzi halisi dhidi ya wale wasimamiao msimamo wa umoja na maamuzi ya vyama ambapo linafanyika sasa hivi.
5. Docta Slaa kujitokeza hadharani na kutegua kitendawili cha sintofahau iliyodumu kwa muda kwa kuvunja ukimya akionyesha msimamo wake na kusapoti maamuzi yaliyofikiwa juu ya Lowassa ambapo litafanyika rasmi siku ya utambulisho rasmi wa mgombea wa uraisi kupitia UKAWA na ufunguzi rasmi wa kampeni nchi nzima ambapo mwendo utakua mchakamchaka mpaka uchaguzi.
SIASA NI MIPANGO,MIKAKATi NA SAIKOLOJIA.
Can't believe it! Can they be so good in political strategy and psychology?
 
Mkuu huo ndio ukweli
 
Wanpoteza muda wao hao wasiokuwa na kazi za kufanya. Ukawa ndio habari ya mujini na haondoki mtu ni mchaka mchaka hadi magogoni, na hakuna kulala hadi kieleweke

Kweli kamanda
 
Attachments

  • 1438506400265.jpg
    1438506400265.jpg
    16.4 KB · Views: 602
Back
Top Bottom