Miji mizuri 15 inayovutia Barani Afrika

Miji mizuri 15 inayovutia Barani Afrika

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
malambo.jpg

Moja ya sababu zinazochangia miji kukua kwa kasi ni pamoja na miundombinu bora na ya kisasa zaidi..miji mingi ya Afrika inaendelea kukua kadri siku zinavyokwenda ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Hapa nimekusogezea miji 15 yenye mvuto zaidi Africa….

1. Luanda, Angola





2. Agadir Morocco





3. Nairobi, Kenya





4. Lagos, Nigeria





5. Johannesburg, Afrika Kusini





6. Cairo, Egypt





7. Port Louis, Mauritius





8. Cape Town, South Africa





9. Abdijan, Cote d’Ivoire





10. Tripol, Libya





11. Abuja, Nigeria





12. Malambo, Equatorial Guinea





13. Durban, Afrika Kusini





14. Tunis, Tunisia




15. Dar es Salaam, Tanzania
 
mleta maada amechemka au hajapanga kimpangilio,Nairobi haiwezi kuipita mini ya south Africa
 
Huwa nashindwa kuelewa why Kenya inatokea kwenye Kila kitu

Hata tukisema majiji yanayoongoza kwa ushoga Nairobi lzm iwepo
 
Write your reply...
nairobi umetuingiza chaka,halafu huo mji wa equatorial guinea umeweka render si mji halisi..
umeitoa kwa source ipi?
 
Bado na jiuliza imekuwaje nairobi ikawa ya tatu
Hili jambo hata mm limenchanganya maana vitu vingine kwa macho tu vinaonekana kuna kale kamji mauiritius eti kamepitwa na nairobi nna wasiwasi mtoa mada mkenya!
 
Dar es Salaam ingekuwa kwenye namba 99 heading ingekuwa
MIJI 99 INAYOVUTIA BARANI AFRICA
 
Back
Top Bottom