Miji miwili DRC zatekwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miji miwili DRC zatekwa.

Discussion in 'International Forum' started by mlaizer, May 1, 2012.

 1. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jenerali Ntaganda ateka miji miwili DRC


  Imebadilishwa: 30 Aprili, 2012 - Saa 17:45 GMT  [​IMG]Bosco Ntaganda ameteka miji miwili ya mashariki mwa DRC


  Vikosi vinavyomtii Bosco Ntaganda, anayetafutwa na ICC vimeteka miji miwili ya mashariki mwa DRC.
  Mwandishi wa BBC katika eneohiloanasema maelfu ya watu wanakimbiamapigano makali na kuelekea karibu na mjini Goma.

  Mamia ya askari wenye silaha nzito wanaomtii Jenerali Ntaganda hivi karibuni walijitenga kutoka jeshi la nchi hiyo.
  Akiwa anafahamikakama‘Terminator,' Jenerali Ntaganda ameklanusha tuhuma za ICC kuwa aliwasajili watoto kuwa askari.
  'majibu ya chuki'

  Mwandishi wa BBC Thomas Hubert akiwa Sake, kilometa 30 (18 maili) magharibi mwa Goma, anasema wakazi wamemwambia wamesikia mapigano kati ya vikosi vya Jenerali Ntaganda na vikosi vya serikali yakiendelea Jumapili usiku.
  Askari wa serikali walirudishwa nyuma na kuondolewa katika miji ya Mushake na Karuba, mwandishi wetu anasema, na wamerudi nyuma kwa kilometa 12 mashariki mwa mji wa Sake, ambako wanajikusanya kupambana naye.
  Askari hao waasi walikimbia jeshi la Congo lenye ngome yake Goma mapema mwezi huu, idadi kati ya 400-500, kwa mujibu wa vyanzo vya UN na Majeshi ya DRC.

  ‘Terminator kwa ufupi'


  • Alizaliwa mwaka 1973 nchini Rwanda
  • Alikimbilia DR Congo akiwa kijana baada ya mashambulizi dhidi ya kabila la Watutsi
  • Akiwa na miaka 17, anaanza siku za mapigano –akibadilisha kati ya waasi na askari, kote Rwanda na DR Congo
  • Akawachezaji wa kujitoa wa tennis
  • Mwaka 2006, alishtakiwa ICC kwa tuhuma za kusajili watoto kuwa askari.
  • Ni kiongozi wa vikosi vilivyofanya mauaji ya Kiwanji mwaka 2008
  • Mwaka 2009, anaujiunga na jeshi la Taifa la DRC na kuwa jenerali.
  • Mwaka 2012, anaasi jeshi na kujitenga.
  Katika mapigano mengine katika eneo la kaskazini la Kivu ya kaskazini kati ya majimbo ya Mweso na Kitchanga, maafisa wa jeshi laCongowalimweleza mwandishi wa BBC kuwa wamesimamisha shughuli za watu wa Jenerali Ntaganda.
  Kati ya mwaka 2002-2005, Jenerali Ntaganda alikuwa mkuu wa harakai za kijeshi wa waasi wa UCP wakiongozwa na mbabe wa kivita Thomas Lubanga – ambaye mwezi Machi alikuwa wa kwanza kukutwa na hatia na mahakama ya ICC baada ya kukutwa na hatia ya kusajili watoto kuwa aksari.
  Jen Ntaganda mtuhumiwa mwenza – lakini Rais Joseph Kabila awali alikataa kukamatwa kwake kwa ajili ya amani ya DRC.
  Rais mapema mwezi huu alitoa wito wa kukamatwa kwake lakini anasema hatampeleka ICC.
  Licha ya kumalizika kwa vita vya DRC mwaka 2003, makundi kadhaa yenye silaha bado yanazunguka katika eneo lenye utajiri mkubwa wa madini mashariki mwa nchi lichaya UN na jeshi la nchi hiyo kuwanyang'anya silaha.
   
 2. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli Afrika bado hatujapata uhuru.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa unategemea utapata Uhuru kutoka kwa nani?

  Kama hujawa huru katika nafsi na matendo yako hautakuwa huru katika maisha yako yote, utaendelea kuwa mtumwa wa aliye huru kwenye nafsi na matendo yake.
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  watu wanaotoka rwanda wanasumbua sana DRC-Wanageuza DRC kama battle field yao
   
 5. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  inaaminika kuwa yoweri museveni na joseph kabila ni warwanda pamoja kwa kwamba ni marais ktk nchi sizizokuwa na kwao.huyu ntaganda naye ni mzaliwa wa rwanda...........................labda nchi zingine za jirani na rwanda zijiangalie kwani huenda nazo zikatawaliwa na warwanda................ha ha ha
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ukiangalia hali ilivyo hata civil wars za DRC zinakuwa zinawa-involve rwanda na uganda.Uganda na Rwanda wao wakiwa upande wa hao rebels/culprits-kifupi ni kama Uganda na Rwanda wao ndo wana final say juu ya mambo yanayoihusu DRC
   
 7. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa wa drc wana kazi kubwa sana. Na wanaoshitakiwa ni wao,hawa wanyarwanda hawashitakiwi hata kidogo. Ref ntaganda na nkunda vs lubanda na bemba. Hivi kwa nini nchi nzima haiasi kumuondoa kabila? Wanyarwanda wana mpango wa kutawala a. Mashariki na kati yote,hata humu tuna wanyarwanda kibao tumesoma nao vyuoni kwa uraia wa kitanzania na wengine wapo jeshini
   
 8. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Muuriganyeeeeeza mushoooomireeee general Mutaganda ni o kugite kya kulye kya Rwandese Peoples eki na ireereeema rya kya kuuuta kya nouiree ra DRC Congo uwuuusa vya indoree ra Generali Mutaganda ku vuuusa vya Generali Joseph Kabira Ouwa lwa Keinreeemya rya Ugandas Peoples Defence Rwa vita vya Forest rwa Madini ei Mineral
   
 9. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kwa nini wamuondoe kabila?mimi naona kabila huyu wa sasa amestabalize hali ya DRC kuliko wengine-hizi mutiny zinazotokea anaweza kuzitiliza tu-
  then swala la kumtoa kabila ni gumu maana nchi kama CHAD,ZAMBIA,ZIMBABWE,ANGOLA N.K ZITAINGIA KUZUIA KABILA ASITOKE-NA ITAKUWA NI ALL OUT WAR-WALISHAWAHI MSAIDIA LAURENT KABILA-SO NAAMINI WANAWEZA PIA KUMSAIDIA MWANAYE PALE ATAKAPOKUWA ANAHITAJI MSAADA.

  UNAWEZA CHEKI HIZI HABARI

  [FONT=&amp]By 1996, the war and genocide in neighboring Rwanda had spilled over to the DRC (then Zaire). Rwandan Hutu militia forces (Interahamwe) who fled Rwanda following the ascension of a Tutsi-led government were using Hutu refugee camps in eastern Zaire as bases for incursions against Rwanda.[/FONT]
  [FONT=&amp]In October 1996, Rwandan troops (RPA) entered the DRC with an armed coalition led by Laurent-Desire Kabila, known as the Alliance des Forces Democratiques pour la Liberation du Congo-Zaire (AFDL). With the goal of forcibly ousting Mobutu Sese Seko, the AFDL, supported by Rwanda and Uganda, began a military campaign toward Kinshasa. Following failed peace talks between Mobutu and Kabila in May 1997, Mobutu left the country, and Kabila marched into Kinshasa on 17 May 1997. Kabila declared himself president, consolidated power around himself and the AFDL, and renamed the country the Democratic Republic of Congo (DRC). RPA units continued to operate with the DRC's military, which was renamed the Forces Armees Congolaises (FAC).[/FONT]

  [FONT=&amp]Congolese Tutsis, as well as the Governments of Burundi, Rwanda, and Uganda, all relied on the Rwandan military presence in DRC for protection against hostile armed groups operating from the eastern part of the country. [/FONT]

  [FONT=&amp]During 1997, relations between Kabila and his foreign backers deteriorated. In July 1998, Kabila ordered all foreign troops to leave the DRC. Most refused to leave. On 2 August 1997, fighting erupted throughout the DRC as Rwandan troops "mutinied," and fresh Rwandan and Ugandan troops entered the DRC. On 4 August 1997, Rwandan troops flew to Bas-Congo, with the intention of marching on Kinshasa, ousting Laurent Kabila, and replacing him with the newly formed Rwandan-backed rebel group called the Rassemblement Congolais pour la Democratie (RCD). The Rwandan campaign was thwarted at the last minute when Angolan, Zimbabwean, and Namibian troops intervened on behalf of the DRC Government. The Rwandans and the RCD withdrew to eastern DRC, where they established de facto control over portions of eastern DRC and continued to fight the Congolese Army and its foreign allies.[/FONT]

  [FONT=&amp]In February 1999, Uganda backed the formation of a rebel group called the Mouvement pour la Liberation du Congo (MLC). Together, Uganda, and the MLC established control over the northern third of the DRC.[/FONT]
  [FONT=&amp]At this stage, the DRC was divided de facto into 3 segments, and the parties controlling each segment had reached a military deadlock. In July 1999, a cease-fire was proposed in Lusaka, Zambia, which all 6 parties (The DRC, Zimbabwe, Angola, Namibia, Uganda, and Rwanda) signed by the end of August 1999. [/FONT]
  Source-Congo War

  Foreign supporters of the Congo government


  [FONT=&amp]Zimbabwe[/FONT]
  The Zimbabwean government sent troops to assist Kabila in 1998.[SUP][13][/SUP] President Robert Mugabe was the most ardent supporter of intervention on Kabila's behalf. Zimbabwe was the only country with a modern and most experienced air force during the conflict. The Air Force of Zimbabwe and the Zimbabwe National Army special forces who included the Zim Commandos, Paras, as well as the Special Air Service all played a crucial role in securing Kinshasa as well as repulsing the rebel soldiers who were on the outskirts of the capital. The Air Force planes played a major role in the destruction of the enemy columns which were about to enter the capital. It was also the Zimbabwean troops who secured the Inga dam intact from the rebel hands resulting in the restoration of electricity in the capital.

  Angola

  The Angolan government had fought against Mobutu Sésé Seko in the First Congo War because of his support for rebel UNITA in the Angolan Civil War.[SUP][14][/SUP] The Angolan government wanted to eliminate UNITA operations in southern Congo, which exchanged diamonds extracted from rebel-held Angola for foreign weapons. Angola had no confidence that a new president would be more effective than Kabila, and feared that continued fighting would lead to a power vacuum that could only help UNITA. The intervention of the experienced Angolan forces was essential to decide the outcomes of both wars.

  Namibia


  President Sam Nujoma had interests in Congo similar to that of Mugabe, with several family members deeply involved in Congolese mining. Namibia itself had few issues of national interest at stake in the war and the Namibian intervention was greeted with dismay and outrage by citizens and opposition politicians.
  Chad

  Kabila had originally discounted the possibility of support from Francophone Africa but after a summit meeting in Libreville, Gabon on 24 September, Chad agreed to send two thousand troops. France had encouraged Chad to join as a means of regaining influence in a region where the French had retreated after the 1994 Rwandan genocide. Nevertheless Chadian intervention resulted in a real fiasco. Chadian forces were accused of serious human right violations and looting since the very beginning. Therefore they withdrew very quickly under international and national pressure and shame.

  Sudan

  [FONT=&amp]Unconfirmed reports in September indicated that Sudanese government forces were fighting rebels in Orientale Province close to the Sudanese and Ugandan borders. However, Sudan did not establish a significant military presence inside the DRC, though it continued to offer extensive support to three Ugandan rebel groups-the Lord's Resistance Army, the Uganda National Rescue Front II and the Allied Democratic Forces-in retaliation for Ugandan support for the Sudan People's Liberation Army

  [/FONT][FONT=&amp]Belligerents of the Second Congo War. [/FONT]

  CONGO.png
  [FONT=&amp]Black[/FONT][FONT=&amp] - Republic of the Congo Democratic [/FONT]
  [FONT=&amp] Green - anti-DRC coalition Dark blue - pro-DRC coalition[/FONT]
  [FONT=&amp]Light blue[/FONT][FONT=&amp] - DRC allies, not directly involved in the war
  [/FONT]

  SOURCE: Second Congo War
   
 10. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Yeeewee Mugabo olakomeyee!! Mkuu, hivi unataka kutueleza nini hapa-tunajua fika kwamba mpo humu.
   
 11. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Watu tunacho sahau kujiuliza ni kwa nini raia wa DRC wenye asili ya Rwanda ndiyo mara nyingi wanaletaga fujo DRC, hawataki nchi hiyo itawalike; na actually huwa wanataka ikiwezekana waweke mtu mwenye asili yao ndiye awe Raisi DRC.

  Jamaa hawa wana an hidden Agenda ya siku nyingi, wanataka kuanzisha HIMA Empire, wana a grand plan ya ku-annex part ya Congo DRC, part ya Tanzania na part ya Uganda - mtu unaweza kufikili ni ndoto za mchana, mkuu nakuhakikishia jamaa hawa wako determined kufanikisha hilo hata ikichuwachua half a centuary. Bila Mugabe kutumia ndege za kivita, makomando na majeshi lake shupavu kuwapa kipigo kitakatifu jeshi la Rwanda, sasa hivi Congo ingekuwa mikononi mwao. Nadhani kipigo hicho cha Mugabe ndio kiliwatia adabu, wakaogopa kuwa jeuri tena.

  Wanyarwanda wangemaliza operation ya DRC kwa mafanikio, wange kuwa tempted kuvamia sehemu ya Tanzania, si wegekuwa wanajiona wana uwezo kijeshi bwana, mimi wakati vita hii inaendelea Congo (DRC) nilishangazwa na muda ulio wachukuwa infantry wa jeshi la Rwanda kutoka mpakani mwa Rwanda na DRC na kukaribia viungani vya mji wa Kinshasa - it was a lightening SPEED so to speak, mimi nilikuwa very much concern na mbinu za jamaa hawa nikajaribu kuzungumzia swala hili na wahusika nchini - nikahakikishiwa kwamba nchi yetu hiko imara na wanajuwa kinacho endelea na jinsi ya ku-deal na hali yoyote hile itakayo jitokeza sasa hivi na siku za usoni - nakwambia siku hiyo nilipata faraja kubwa SANA, watu wana weza kufikili labda nilikuwa overly paranoid, siyo kweli Watanzania wenzangu tunapashwa kuwa macho sana.

  Chukulia huyu aliye amua kuandika Kinyarwanda kitupu kwenye forum hii-je, hii inatoa impression gani? anataka his precence iwe noticed; the question is "is this NORMAL?"- anajifanya kwamba tatizo la Congo linatokana na Madini blah blah blaaah; ulaghai mtupu, yeye alikuwa na lengo lake hapa, na si dogo.

  Congo inataka kuishi kwa amani muache ku-fund na ku-support kundi dogo la Wanyamlenge linalo leta kero kwa raia wa CONGO na kuwakosesha AMANI ya kudumu wakati nyie mlikaribishwa kama wakimbizi pale, hata kama mmeishi muda mrefu Congo hiyo aiwapi a blank cheque ya kuwamlia Wacongomani jinsi ya ku-run Taifa lao.
   
 12. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huku kutatulia lini? Mungu kawapa madini kilichopo ni ku uana tu kwenda mbele sijui upuzzi huu utaisha li kwa kweli. Alaumiwe nani? Mungu aliyetupa madini au kizazi hiki cha shetani.
   
 13. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu, don't you worry we can deal with 'em summerily.
   
 14. livefire

  livefire JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hahaha.....Tanzania my brothers...si juzi mwingine ameniahidi kuwa warwanda na watanzania ni kitu kimoja hadi sifa kochokocho zikamiminwa eti watakuwa EA power house,lol... (viva lar'vituko). ww mnyarwanda ongea lugha ya taifa (EAC)..... swahili pia si mbaya. Kwa sasa hatupatani kamwe na pengine una hoja lakini wengi wetu hatung'amui lahaja lako.
   
 15. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Hivi ki-asilia wenyeji halisi wa DRC ya kaskazini ni watu gani?maana naona kama ni sehemu ya Rwanda kwa jinsi wanavyolitawala eneo hilo kijeshi?na hizo nguvu za kupigana na nchi huru wanazitolea wapi?nakubaliana na wadau hapo juu kuwa huenda ni Hidden agenda inayokuwa backed up na serikali ya Kagame kujitwalia eneo la kaskazini mwa DRC!Kwasasa wanyarwanda wanazaliana sana na ka-nchi kao ni kadogo sana.Nahisi huu ni mpango wa nchi yao kabisa sema serikali ya Kigali inaona aibu kusema dhahiri!!Shame on you Rwandese!
   
 16. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  May be warwanda watakuwa na hidden ajenda-maana matatizo mengi ya kisiasa DRC yana root rwanda/uganda-mbona wenzao burundi wametulia kuliko wao?
   
Loading...