Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,908
- 2,480
ndo nn hiyo pickpocketing
Barcelona[/h]
Prague[/h]
Rome[/h]
Madrid[/h]
Paris[/h]
Buenos Aires[/h]
Florence[/h]
Amsterdam[/h]
Hanoi[/h]
Athens[/h]Jamaa ameuliza duniani nyie mnajibu bongo tu
Kwanza namshukuru Mwenyezi MUNGU kuwa kwa hili Afrika hatupo.
Pili, jamani topic ni miji duniani lakini watu wanajadili manzese.mtaa wa kongo. Japo ni kukwaa huru basi tubaki kwenye mada basiii.
Hajauliza. Bofya hayo maandishi yake itakupeleka kwenye habari zilizotaja hiyo miji 10 ya duniani. Kati ya hiyo miji 10, 8 ipo Uropa, 1 Amerika ya kusini, 1 Asia.
Hakuna hata mmoja Afrika, ina maana kwa wizi wa mifukoni kwetu ni cha mtoto.
kuna mji fulani brazil nao ni noma,nimesahau jina lake.
Jamaa ameuliza duniani nyie mnajibu bongo tu