Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,840
Kwanza namshukuru Mwenyezi MUNGU kuwa kwa hili Afrika hatupo.
Pili, jamani topic ni miji duniani lakini watu wanajadili manzese.mtaa wa kongo. Japo ni kukwaa huru basi tubaki kwenye mada basiii.
ss ndugu yangu hata kufika hatujawah unadhani tutajadili nn.ngoja tuzungumze tunayoyajua