Mijadala ya siasa maofisini

Mijadala ya siasa maofisini

dah!! hapa kwetu tunawaza business tu. hatuna habari na siasa wala muda nao.

Ni kweli, madada poa wengi hawajui siasa, wao ni business tu, tutawahesabia kwenye kura zilizoharibika
 
Wote hakuna mwenye kazi hapo, majuha wakubwa

sawa tu kumbe serikali yako imeajiri majuha, naona unajifariji ila habari ndo hiyo siasa ndo mpango tena kwenye kompyuta za serikali!!!!!!
 
Hapa kiwandani kwetu hili ni tawi la cdm, mpaka mkuu wa kiwanda ni kamanda, kila mtu amepata upako,watu wana hasira na ccm balaa
 
OFISI YA KWETU WALISHAICHOMA ...MIJADALA TUNAIFANYIA NJE...

8650274_orig.jpg
 
Kama watumishi wa umma hakunaga ccm kwa ajili wanavyowanyonya bora hata ya mkoloni.
 
Sie kwetu gamba lipo moja eti ni mwenyekiti wa uvccm, huwa linapata shida sana linapoleta uccm wake
 
Sitarajii kuona ccm inang'oka madarakani kwa hivi vyama vilivyopo. Kidumu ccmapinduzi. Dumu EL OUR NXT PRSD
 
Mkuu Wang ni gamba ukimhoji kitu anasema mavijana ya chadema bana mnapenda kuhoji

yaani ni kama kwetu,Ceo muhindi,GM ni mwenyekiti wa ccm na ana mpango wa kugombea ubunge soon,hataki kabisa kusikia mpinzani ameingia ndani ya kampuni,anahakikisha kila anayeingia hapa ni mpiga kura wake mtarajiwa, ila magwanda tupo full na tunakomaa kibishi.
 
tehe tehe tehe! Catherine kama ofisi yako iko busy na business km usemavyo mbona uko jukwaa la siasa jf? tuache masihara siasa ndo maisha yanapoanzia. kazi njema catherine.

ni kweli nilichosema, nipo jukwaa la siasa maana huku naona atleast kuna watu naweza jadiliana nao mawili matatu au naweza kusoma tu na kuona nini kinaendelea ila kwa hapa ofisini hawana habari na siasa. kazi njema na kwako ingawa nimechelewa kujibu.
 
Haya mazungumzo ya kisiasa ofisini ni mazuri sana ndipo tunapopanga mikakati ya kujui chama kipi ni bora na kipi ni dhaifu. nyie msiejadili siasa ndiyo wale mwisho wa siku unaenda kuchagua picha yenye tabasamu ukijua maisha bora ndiyo yatapatikana.
 
Hapa ofisini kwetu jamani imezidi na watu wanajadili siasa mpaka wengine wajiita makamanda. Vipi huko kwenu kati ya magamba na makamanda mambo yakoje? Kwetu hapa ukijulikana ni gamba utakosa raha.

Mnapata wapi muda wa kujadili siasa kazini, bossman?
Hamko busy?
 
Ofisin kwangu najulikana km kamanda najiona shujaa sijui jirani zangu magamba.
 
kwanza ata salam ya chama chao siku hizi wanaona aibu inavyoitikiwa et kigumu chama cha majangiri
 
ni kweli nilichosema, nipo jukwaa la siasa maana huku naona atleast kuna watu naweza jadiliana nao mawili matatu au naweza kusoma tu na kuona nini kinaendelea ila kwa hapa ofisini hawana habari na siasa. kazi njema na kwako ingawa nimechelewa kujibu.

Catherine as I have said politics ni mwanzo wa mambo yote. Sasa hivi twaongelea new constitution. Hiyo ni siasa purely. Kama tukipata katiba mpya km ilivyopendekezwa kwenye rasimu ya pili, surely utaratibu wa kuendesha nchi utakuwa tofauti na sasa ambao mambo ni hobelahobela
 
Back
Top Bottom