Mijadala ya siasa maofisini

Mijadala ya siasa maofisini

siye tunaishi nyumba za umma jamaa yetu alipandisha bendera kwenye nyumba anayo ishi ilibidi tumuombe aishushe kwan ni kinyume na utumishi.watumishi wote hapa ofsin ni makamanda mpaka wives kuanzia mkuu hadi sekretary sijui itakuaje 2015 labda ndoo maana jk alishaoteshwa na akawaoteshea wenzake kujiandaa kisaikolojia
 
Kuna rafiki yangu 1 ni OCD ni kamanda wa ukweli akanambia ttz ni kuwa kz zao ni za amri anatusaidia sana kutupa taarifa za intelejensia na sisi fasta tunaziwasilisha kunakohusika ndo maana dili zao nyingi zinashtukiwa mapema tukiingia kwenye kamati ya ulinzi na usalama inakuwa ni kuthibitisha tu....yaani raha sana Magamba yametaitiwa balaa
 
Kuna upotoshaji mkubwa unaofanyika kuwa watumishi wa uma hawaruhusiwi kujihusisha na sias, siyo tatizo kujadili siasa ilimradi mijadala hiyo isiingilie kazi za kila siku.
 
ofisini kwetu makamanda kibao hadi Bosi,cha ajabu kwa ajili ya uoga wanazugazuga kimagamba,ukimkuta mtu kafungua jukwaa la siasa anazuga an switch fasta kwenda jokes na utani.nachekaga saana
 
Huu uzi unanifurahisha saana, heko kwa uliyeuweka
 
Muwe ni makamanda au mjiite sijui nini lakini mtabidi mtekeleze Ilani ya CCM ya saa na zaidi ya miaka 50 ijayo.
 
Na mimi lazima lesson plan yangu iwe na angalau dakika 10 ya kutoa elimu ya uraia kabla ya kuanza pindi class mwaka huu hakika MAGAMBA lazima wakae chini
 
Na mimi lazima lesson plan yangu iwe na angalau dakika 10 ya kutoa elimu ya uraia kabla ya kuanza pindi class mwaka huu hakika MAGAMBA lazima wakae chini
Maana huku kwetu kuna walimu wako UVCCM na ni viongozi kabisa lakini Mkurugenzi na DEO wako kimya
 
Na mimi lazima lesson plan yangu iwe na angalau dakika 15 ya kutoa elimu ya uraia kabla ya kuanza pindi class mwaka huu hakika MAGAMBA lazima wakae chini
Maana huku kwetu kuna walimu wako UVCCM na ni viongozi kabisa lakini Mkurugenzi na DEO wako kimya
 
ofisini kwetu makamanda kibao hadi Bosi,cha ajabu kwa ajili ya uoga wanazugazuga kimagamba,ukimkuta mtu kafungua jukwaa la siasa anazuga an switch fasta kwenda jokes na utani.nachekaga saana

mkuu hio hata ofisini kwetu ipo.. Luna washkaji watatu kwa stori zetu tumeshajuana kama ni watu was jf..

basi ikitokea umemuomba simu mtu Mara lazima awe hana amani:
 
Hapa ktk mkoa wetu watu wanaenda hadi na fulana za chama tawala haswa siku za ijumaa, wafanyakazi wanalalmika sana kwani wanshinikizwa wakipende chama wakikuona wewe mpishi basi hata cheo hupandi au zile safari za posho nyingi hupewi. Ukiingia kwenye ofisi za huku secretary wote ni akina mama wa umri mkubwa kama miaka 50 hivi ukija kijana umevaa nguo ya mikono mifupi na inamifuko mingi huduma unaweza usipate wanajua eti wewe ni Chadema, hivyo nawaomba chedema mbadilishe mavazi.

Hapa ofisini kwetu jamani imezidi na watu wanajadili siasa mpaka wengine wajiita makamanda. Vipi huko kwenu kati ya magamba na makamanda mambo yakoje? Kwetu hapa ukijulikana ni gamba utakosa raha.
 
Mimi ofisini kwangu kabla sijakuajiri swali la mwisho je we ni gamba au gwanda... kosa na kazi hutapata ni kusema GAMBA.....
 
Hapa ktk mkoa wetu watu wanaenda hadi na fulana za chama tawala haswa siku za ijumaa, wafanyakazi wanalalmika sana kwani wanshinikizwa wakipende chama wakikuona wewe mpishi basi hata cheo hupandi au zile safari za posho nyingi hupewi. Ukiingia kwenye ofisi za huku secretary wote ni akina mama wa umri mkubwa kama miaka 50 hivi ukija kijana umevaa nguo ya mikono mifupi na inamifuko mingi huduma unaweza usipate wanajua eti wewe ni Chadema, hivyo nawaomba chedema mbadilishe mavazi.

hapo penye nyeusi, hiyo itakuwa ofisi ya chama twawala hakuna ofisi (umma au binafsi) utavaa minguo ya kijani/njano yenye nembo ya ccm, kijanni, hakuna kubadilisha mavazi hayahaya yanatosha yako poa kichizi!!!!!!!
 
Kasome sheria ya utumishi wa umma halafu urudi utuambie umeelewa nini

Wewe una laana ya damu za watu unazozinyonyaga,

Hapa hatuzungumzii kufungua Matawi ya Chama Maofisini, bali sometimes kujadili (not in official forum) labda CCM mafisadi, CDM wako juu e.t.c hua imo pia.
 
mkuu hio hata ofisini kwetu ipo.. Luna washkaji watatu kwa stori zetu tumeshajuana kama ni watu was jf..

basi ikitokea umemuomba simu mtu Mara lazima awe hana amani:

kwetu tena ofisi nyeti hii ya umma, gwanda kwa kwenda mbele!!!!!!!!
 
Unadhani natania tembelea hii mikoa ya ziwa Tanganyika uone, kama ni mtu mzima wewe kijana utamfanyaje! yeye anajua CCM ndiyo ipo madarakani utamfanya nini.

hapo penye nyeusi, hiyo itakuwa ofisi ya chama twawala hakuna ofisi (umma au binafsi) utavaa minguo ya kijani/njano yenye nembo ya ccm, kijanni, hakuna kubadilisha mavazi hayahaya yanatosha yako poa kichizi!!!!!!!
 
Hapa ofisini kwetu jamani imezidi na watu wanajadili siasa mpaka wengine wajiita makamanda. Vipi huko kwenu kati ya magamba na makamanda mambo yakoje? Kwetu hapa ukijulikana ni gamba utakosa raha.

Jadilini tu siasa, sisi twapiga deal, na wengine wana...mmhhh Mboowee..Dubhai....kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom