JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Wengi wenye busara wanashauri watanzania kama sio wapana juu ya mijadala mbalimbali inayohusu maslahi ya nchi ama maendeleo yoyote bora mtu akakaa kimya kusikiliza wenzake wana maoni gani, kufanya hiyo haina maana kuwa huna akili bali ni Busara.
Ushauri huu ni wa bure kabisha, kwani nimeshuhudia mtu anajaribu kupotosha mambo ya msingi kukosoa anachozungumza msomi wakati hana uwezo wa japo kuchangia kinachozungumzwa, na hapo utaona mtu anaishia kutukana au kuponda.
Sio vyema tukaendelea kuvumilia hali hiyo, tufuate ushauri huu.