Polisi hawawezi kuweka mwili bila ya sababu yoyote,wanachofanya ni ku identify kama kuna majeraha na kuchukua sample za DNATujiulize sana no kwanini jeshi la polisi baada ya kupewa taarifa za kupatikana miili ya wanaume sita tena wakiwa wameuawa na kuwekwa kwenye mifuko walikuja mbio mbio na kuizika bila hata ya kufanya uchunguzi wowote ule. Kwanini? Ni jambo la kawaida kweli kulifikiri kikawaida?
Baada ya hapo tena siku iliyofuata ukaonekana mwili mwingine wa saba na jeshi hilohilo likafanya staili ile ile. Je walikuwa na taarifa kuwa kutatokea tena mwili wa saba? Kwanini baada ya kuizika miili hiyo hawakuhangaika kubaini kama ipo mingine? Walijua idadi yake? Kwanini baada ya kuizika ile miili sita na kisha kuonekana huo wa saba hawakuanzisha operesheni maalum?
Zipo taarifa kuwa askari polisi ndani ya jiji la Dar es Salaam wanafanya operesheni maalum kupambana na mikusanyiko ya vijana wakitumia silaha za moto na maelekezo hayo walipewa na mkuu wa mkoa. Ukiwa mtaani siku hizi unasikia milio ya risasi ikiwa imetapakaa kama vile sasa tupo kwenye mapambano ndani ya jiji hilo.
Kwa hili la miili kuzikwa kienyeji tena na vyombo tulivyokabidhi jukumu la kulinda raia ni lazima lihojiwe na taarifa za kina kuhusu miili ile zitolewe!
Kawaida akitokea mtu au sababu inayohusiana na kifo/vifo hivyo,polisi watatoa kibali chakufua mwili na kuufanyia uchunguzi wa kiundani zaidi.
Vinginevyo wale wanachukuliwa kuwa wameuawa na mob justice,lakini faili halifungwi watu wanapeleleza chini kwa chini,kama tukio la yule bondia alieuawa,washukiwa wamekamatwa na kesi ipo mahakamani.
Kuhusu hizo taarifa za kuamriwa kuuwa na mkuu wa mkoa labda ungeleta uthibitisho,vinginevyo ni yale yale majungu tuu