bosskilala
New Member
- Sep 26, 2010
- 2
- 0
Mii si MBUMBUMBU
Hivi inanishangaza sana kuona Serikali ya Tanzania inavyoagiza Magari ya Kifahari kama Toyota Land Cruiser V8 nchini JAPAN
Gari moja ni zaidi ya TSH 60,000,000/ (MILIONI SITINI)
Utashangaa sehemu fulani hapa nchini, JAPAN imetoa MSAADA wa kuchimba KISIMA CHA MAJI CHA TSH 3,000,000 (MILIONI TATU)
Pesa za kununua magari zipo lakini za kuwajengea wananchi kisima hazipo.
MI SIO MBUMBUMBU
TUAMKE WATANZANIA

Kwani lazima aende Kigoma kwa V8. Precision Air hazifiki uko?
Mii si MBUMBUMBU
Hivi inanishangaza sana kuona Serikali ya Tanzania inavyoagiza Magari ya Kifahari kama Toyota Land Cruiser V8 nchini JAPAN
Gari moja ni zaidi ya TSH 60,000,000/ (MILIONI SITINI)
Utashangaa sehemu fulani hapa nchini, JAPAN imetoa MSAADA wa kuchimba KISIMA CHA MAJI CHA TSH 3,000,000 (MILIONI TATU)
Pesa za kununua magari zipo lakini za kuwajengea wananchi kisima hazipo.
MI SIO MBUMBUMBU
TUAMKE WATANZANIA
Nadhani una maana DC wa Ngorongoro aende Arusha Mkoani kwa CARINA au VITARA!!! (1 Week my friend)
To me it sounds as if that is even a more costly approach, don't you think?
karibu boss, jf kweli we si mbumbumbu, kama ms, jeykeywaukweli,mtu wa pwani................................Mii si MBUMBUMBU
Hivi inanishangaza sana kuona Serikali ya Tanzania inavyoagiza Magari ya Kifahari kama Toyota Land Cruiser V8 nchini JAPAN
Gari moja ni zaidi ya TSH 60,000,000/ (MILIONI SITINI)
Utashangaa sehemu fulani hapa nchini, JAPAN imetoa MSAADA wa kuchimba KISIMA CHA MAJI CHA TSH 3,000,000 (MILIONI TATU)
Pesa za kununua magari zipo lakini za kuwajengea wananchi kisima hazipo.
MI SIO MBUMBUMBU
TUAMKE WATANZANIA
Fafanunua ndugu muafaka, Ina navyotakiwa ni kuwa atleast kila Mkoa una kuwa na hizo V8 moja inatosha na huyo waziri akifika huko atapanda hiyo kama anaenda kutembelea huko wilayani, na pia kwa Dar es salaam hatuhitaji kuwa na magari kila V8 kila idara, magari yatakuwa pool kama mtu anahitaji V8 anakwenda kuchukua na sio V8 ya kumpeleka Dodoma wakati barabara ni ya lami GRAND VITARA inatosha.
Atumie gari affordable aonje ladha ya shida ana adha baada ya yeye na kamati zake kuiba fedha za miradi ya barabaraNadhani una maana DC wa Ngorongoro aende Arusha Mkoani kwa CARINA au VITARA!!! (1 Week my friend)