Mihogo mibichi inasaidia nini?

Curvyminx

Senior Member
Nov 29, 2016
179
221
Habarini wakuu,

Nime notice wadada, kina mama wanatembea na kuuza mihogo mibichi na nimeshuhudia watu wananunua na kula.

Just curious inasaidia nini? Kwasababu wauzaji ni wengi, inaashiria demand ipo. Embu niambieni basi mihogo mibichi inasaidia nini?
 
Inaongeza 'working capacity' ya muhogo (inasemekana ila)
 
Habarini Wakuu,
nime notice wadada, kina mama wanatembea na kuuza mihogo mibichi na nimeshuhudia watu wananunua na kula. Just curious...inasaidia nini? kwasababu wauzaji ni wengi, inaashiria demand ipo. embu niambieni basi mihogo mibichi inasaidia nini?
Inaongeza carbohydrates mwilini
 
Habarini Wakuu,
nime notice wadada, kina mama wanatembea na kuuza mihogo mibichi na nimeshuhudia watu wananunua na kula. Just curious...inasaidia nini? kwasababu wauzaji ni wengi, inaashiria demand ipo. embu niambieni basi mihogo mibichi inasaidia nini?
Ngoja wanaume wa dar waje wakujibu!mikoani hatuhitaji buster
 
3e7b4570254e42c4270d92d5ec8dbf61.jpg
 
Hii mambo ipo Dar tu, ndio maana wanauza mahindi ya kuchoma yakiambatana na ndimu pilipili na chumvi. Shida sana
 
Back
Top Bottom