Mihemko ikizidi afanyeje?

Mihemko ikizidi afanyeje?

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Ndugu wana jf,

Mimi ninaishi na msichana wa kazi, nilimchukua akiwa mdogo alivo maliza la saba mwaka 2010 Sasa msichana huyu amekuwa ana mihemuko ya hali ya juu anatamani hata kubaka ni vile tu nimembana sana naogopa kumwacha huru kwani misela itampa mimba mana hajui lolote kuhusu kijizuia.

Msichana huyu ni mwaminifu nasafiri namwachia nyumba lakini anaangalia vizuri nyumba na watoto hivyo natamani kumfukuza lakini nashindwa kwajili ya uaminifu wake lakini genye zake ni kali nahisi hata mme akimuomba one day atampa.

Sasa nimeshindwa nifanyeje, nimfukuze, au nimuache yani sijui nimedata tu nimeona nililete kwenu mnisaidie.
 
ww umejuaje km ana mihemko ilopitiliza na genye zake ni za hali ya juu??
 
mpe father house walau mara moja kwa mwez kabla hajaamua kummpa mwenyewe kila siku...
 
Ndugu wana jf mimi ninaishi na msichana wa kazi, nilimchukua akiwa mdogo alivo maliza lasaba mwaka 2010 Sasa msichana huyu amekuwa ana mihemuko ya hali ya juu anatamani hata kubaka ni vile tu nimembana sana naogopa kumwacha huru kwani misela itampa mimba mana hajui lolote kuhusu kijizuia, msichana huyu ni mwaminifu nasafiri namwachia nyumba lakini anaangalia vizuri nyumba na watoto hivo natamani kumfukuza lakini nashindwa kwajili ya uaminifu wake lakini genye zake ni kali nahis hata mme akimuomba one day atampa sasa nimeshindwa nifanyeje, nimfukuze, au nimuache yani sijui nimedata tu nimeona nililete kwenu mnisaidie

Toa namba zake
 
ww umejuaje km ana mihemko ilopitiliza na genye zake ni za hali ya juu??

Namsikia anavyo ongea ongea, mara maziwa yangu mazuri, ------ yangu mazuri, anasema mwanaume atakae nipata atafaidi akisema hivo tu anaaza kucheka anajishika shika adi anajitia midole kunako ofic anajichokonoa afu nkimuliza anasema anafangas zinamla ndani. Kuna mida ananiambia yeye hataki kuondoka ila anaomba nimuache huru kwani yeye amekua na hisia za mapenzi zina msumbua anasema ninavo mbana yeye afanyeje. Nikweli yuko hivo nikimwambia hamna kutoka na wala nisikuone na wanaume analia kweli
 
Hiyo chakula ishakua tayari kwa kuliwa, we mbane bane tu ipo siku utakuta kafanya makubwa zaidi
 
mmmmh umejuaje yote hayo.... hayo yoote ya manyonyo yake kuwa. mazuri anakueleza father house... anajiingizia vidole kunako father house unamuangalia tu.... napata walakini...

BTW ka kuna katoto ka kiume chunga sana utakuta amekabaka
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Ingekuwa mtoa mada ni mwanamke sidhani kama angeshindwa kuelewa anachokipitia huyo binti. Mtoa mada angekuwa ni mwanamke angejua ni jinsi gani ya kuongea na huyo binti ili aweze kucontrol hyo hali.
 
Kwani mtoa mada si mwanamke au? Mi ndo nmesoma vibaya..
Endelea kumkataza,mpige marufuku tabia za kujishika shika na kuongea mambo ya ajabu mbele za watu,ajifunze kujiheshimu,muweke busy na shughuli za nyumbani,pia kwenda nae kanisani au masjid,ajiunge kwaya o something,
mana hapo ukimruhusu hata once imekula kwako si unajua mambo ya kikubwa ukishaanza huachi...na atakuwa anawaleta hadi home
 
mmmmh umejuaje yote hayo.... hayo yoote ya manyonyo yake kuwa. mazuri anakueleza father house... anajiingizia vidole kunako father house unamuangalia tu.... napata walakini...

BTW ka kuna katoto ka kiume chunga sana utakuta amekabaka

Mleta mada ni 'ke'... Msome vizuri!
 
Kwani mtoa mada si mwanamke au? Mi ndo nmesoma vibaya..
Endelea kumkataza,mpige marufuku tabia za kujishika shika na kuongea mambo ya ajabu mbele za watu,ajifunze kujiheshimu,muweke busy na shughuli za nyumbani,pia kwenda nae kanisani au masjid,ajiunge kwaya o something,
mana hapo ukimruhusu hata once imekula kwako si unajua mambo ya kikubwa ukishaanza huachi...na atakuwa anawaleta hadi home

sa amkataze kujishika shika afu nani sasa amshike
 
Namsikia anavyo ongea ongea, mara maziwa yangu mazuri, ------ yangu mazuri, anasema mwanaume atakae nipata atafaidi akisema hivo tu anaaza kucheka anajishika shika adi anajitia midole kunako ofic anajichokonoa afu nkimuliza anasema anafangas zinamla ndani. Kuna mida ananiambia yeye hataki kuondoka ila anaomba nimuache huru kwani yeye amekua na hisia za mapenzi zina msumbua anasema ninavo mbana yeye afanyeje. Nikweli yuko hivo nikimwambia hamna kutoka na wala nisikuone na wanaume analia kweli

Duuuh!! mwambie atumie maji moto bana!!
 
usimfukuze jaman wenzio tunatafuta wasichana waaminifu kama hao.....

ila kwa hilo linalomkabili mim sioni kama tatizo kubwa nadhani ni balehe inamsumbua na ni kwa muda tyu
 
Back
Top Bottom