Miguu jamani,, Miguu ya wadada inaninyima Amani

Miguu jamani,, Miguu ya wadada inaninyima Amani

Aisee, kama mimi na miguu ya Paw! Yaani siizoei. Natamani nimvalishe pensi daily! Ila mwenzio siiwazi miguu ya wengine. Na sijawahi kuona mtu anemzidi uzuri wa miguu hadi nihamishe mawazo.

Ni kakichaa flani nahisi hakana tiba. Jifunze usiwe unashangaa miguu, ukiona angalia hamisha mawazo kwa mchuchu.

Asante kwa ujumbe huu! Preta wangu njoo usome hii, ati najua unazimikia sana ndevu zangu, na najua hao wote hawana kama zangu, I will remain your man forever!
 
Last edited by a moderator:
Yaani nyi acheni tu,, wadada mliopo kwenye finance department please muwe mnavaa vizuri maana mnafanya auditors washindwe kufanya kazi..

Hapa nilipo panajulikana kabisa internal control zao mbovu lakini nimepewa mhasib mrembo huyo kiasi hata sample za kufanyiwa kazi nimemwambia dada chagua mwenyewe mi sina noma..
 
Ukioa na kuanza kupata 'stress za ada za watoto'
yatakwisha yote hayo

it goes with age..


Hata mimi zamani ilikuwa nikiona wowowo tu na freeze
sasa kama nimetoka bank na nimeambiwa account haisomi
hata yapite mawowowo ya aina gani sishtuki lol
 
miguu mizuri ,laini ,yenye shepu ya kike na imenyooka ni ugonjwa wangu pia ila nashukuru mpenzi wangu anayo na she is the best kwenye usafiri.
 
Maua yako ya aina nyingi tatizo ni lipi ua lenye harufu nzuri? Ila hata kiasi muhimu... Omba sana...
 
Yaani nyi acheni tu,, wadada mliopo kwenye finance department please muwe mnavaa vizuri maana mnafanya auditors washindwe kufanya kazi..

Hapa nilipo panajulikana kabisa internal control zao mbovu lakini nimepewa mhasib mrembo huyo kiasi hata sample za kufanyiwa kazi nimemwambia dada chagua mwenyewe mi sina noma..



huu ni udhaifu mkuu ,na ndiyo tofauti ya yetu waafrika na wazungu huanzia hapo.

miafrika ndivyo tulivyo ,source; Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Dah! Kweli kali wengine wanapenda ulimi ukitolewa,wengine mara makalio makubwa, mara wengine matiti makubwa, leo tena nasikia miguu .
 
Back
Top Bottom