Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

waifu material

Mie najisomea na biblia.. jamani mie katakatifu
PXL_20250827_125703113.PORTRAIT.jpg


C.c Binti wa zamani
 
Huu uzi comment za wakina dada ndiyo nazisoma za wakina sisi na skip kuna taarifa nzuri nzuri hivi amazing ukijifanya unajua vitu kumbe bado mshamba dunia ina mambo mengi sana mazuri mazuri
Mambo haya, hayana mwisho wa kujifunza na wakati mwingine yanabadilika kulingana na umri na steji za maisha. Tatizo wanaume wengi ni wajuaji na wamekaririshwa huko vijiweni na wenzao, ambao nao hawajui chochote kama wao tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom