Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,596
Dikteta Uchwara- Tundu LissuHabari wana jf?
Enzi za JK walimu kupitia Viongozi wa CWT walikuwa wakitangaza migomo wakidai haki zao kama vile nyongeza ya mshahara, n.k. siku hizi mbona hatusikii Viongozi hao wakitangaza hiyo migomo ilihali serikali ya JPM haijafanya chochote kwa walimu hao. Je, hii inamaanisha nini kwa Viongozi hawa?