Migomo ya vyuo vikuu tatizo ni nini!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo ya vyuo vikuu tatizo ni nini!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpiganaji jm, Jun 14, 2011.

 1. mpiganaji jm

  mpiganaji jm Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na migomo ya vyuo vikuu kila uchao ktkt nchi yatu na huko ndiko wanapotegemewa wasomi watoke ili waje waliongoze taifal etu. Lakini wengi wamekuwa wakipoteza wakati mwingi ktkt kugoma!
  migomo hii imekuwa ikichangiwa na majibu ya kibabaishaji kutoka kwa viongozi wakuu wa nchi yetu, mfano UDOM walipogoma PINDA alisema apewe wiki mbili ataleta compyuta lakini wiki mbili zilikuwa mwenzi na compyuta hakuleta wanafunzi wakagoma thn waka timuliwa. MUHIMBILI nako katibu mkuu wa wizara ya elimu anatoa majibu rahisi kwa maswali magumu. Je tutafika kweli?
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ndani ya maelezo yako kuna jibu,sijui unataka nini hata
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Katika the most disappointing kundi katika hii nchi yetu ni wasomi..
  I love their migomos for hua inaleta impact saaana katika changes over
  what they are demanding... ndio kwa shingo pande but mara nyingi wanafanikiwa...

  Cha kuzingatia ni kua Viongozi wa jana ni wanafunzi wa juzi, Viongozi wa leo ni wanafunzi
  wa jana, Wanafunzi wa leo ni viongozi wa kesho... Tanzania bado tuna safari ndeeeefu..
  Sijawahi sikia hata siku moja hao wanafunzi wa vyuo kugoma sababu watu wamekufa kizembe
  migodini, au sababu walimu hawathaminiwi au sababu hispitali akina mama wajawazito wanapata taabu na wengine kufariki...

  Wao kazi yao ni kujitafakari wao na kuchukua hatua kwa ajili yao... Sijui lakini itakuwaje....
   
 4. H

  Haki JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni Wanafunzi wenyewe na Wakuu wa shule zao. University inatakiwa iwe indendent institution, ijitegemee yenyewe. Bado wakuu wa vyuo vikuu Dean, wanafunzi wana mawazo ya kuitegemea serikali ktk kila kitu.
  Bado shule zetu zina mawazo ya kiUjamaa, kitu ambacho kinawafanya wawe dependent on government subsidies. Government siyo solution ya matatizo yetu.
   
 5. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Dhuruma. Unyanyasaji, Kutokujari maisha ya wanavyuo,Uongo na kuwaadaa wanafunzi.
   
Loading...