Migomo bado yaendelea UDOM!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo bado yaendelea UDOM!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mawenzi, Feb 19, 2011.

 1. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Habari za kuaminika ni kwamba migomo bado yaendelea UDOM. Jana Ijumaa asubuhi wanafunzi wa School of Medicine and Nursing waliandaama hadi bungeni kwenda kumwona waziri wa Elimu. Madai yao ni mengi lkn ni pamoja na kufundishwa bila practicals, yaani wanafundishwa kama secondary za kata. Jiandaeni kwa baadaye kuja kutibiwa na half-cooked doctors and nurses.

  Jana asubuhi inasemekana walionana na waziri na jioni kulikuwa na kikao kizito kilichohusisha Waziri Mkuu, Waziri wa Elimu, uongozi wote wa juu wa UDOM na uongozi wa wanafunzi. Sijui kilichojadiliwa.

  Wenye details watujuze tafadhali. Nawakilisha.
   
 2. njoro

  njoro Senior Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ungesema wanafunzi wa medicine,acha ku-generalize pumbav
   
 3. M

  Matarese JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkubwa jadili hoja acha matusi sio ustaarabu hata kidogo!
   
 4. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nime-generalize vipi?? Mbona hasira bila kuchokozwa? Ningesema uongo labda ndiyo ungenishambulia. Au wewe ni kati ya ule uongozi mbove wa UDOM?
   
 5. njoro

  njoro Senior Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ungeweka title inayolingana na maelezo,sio unakuwa ka magazet ya udaku
   
 6. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Thanx for indirectly confirming what I thought was a mere rumour!!
   
 7. njoro

  njoro Senior Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i dont know anything
   
 8. njoro

  njoro Senior Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i didnt mean that i have heard the same story,i was jus directing u to not misguiding us ont the story that u r tellin us
   
 9. I

  Ilonza Senior Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Why not talking about the topic, alie toa mada ni mwongo na anapotosha umma udom kuko swhari UE inaenderea.wanataruma siyovizuri kupotoshana.
   
Loading...