Nashangazwa na Siasa ya Kenya hasa pale walioko juu kuongoza Kenya hii kugombea Madaraka, Mzee Moi ushauri wako uko wapi? RailA MwaI si wanao hawa Baba?
Mzee Kenyata saidia Kenya itararuka hivi Punde. Jamii Ya Africa Mashariki tusaidieje hili swala?
Naomba mchango wenu wapenda amani ka Watanzania wa Jamii ya Ujamaa na Kujitegemea.
Wakenya wanaojiita SERIOUS KENYAN"S wamelala.