Migodi yazidi unyanyasaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migodi yazidi unyanyasaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wababa, Nov 6, 2011.

 1. W

  Wababa Senior Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nachojua mimi hakuna adhabu kali kwa mfanyakazi yeyote kama kumwachisha kazi, hv kampuni inapoamua kukuachisha kazi alafu inachukua jukumu la kutuma email na kuchafua details zako kwenye kampuni nyingine ili usiweze pata hata kibarua, kwa kweli hili linaumiza wengi sana hasa wanaofanya kazi katika sekta ya madini yani mining industry, hii tabia imekua kero na wanafanya kama watakavyo wao, migodi inayoongoza kwa unyanyasaji ni pamoja na geita gold mime, north mara mine, buzwagi, kakola, na hata tulawaka, embu imagine labda ulipata matatizo ukashindwa kuudhuri kazini, alafu kampuni inachukua jukumu la kukusimamisha na kuchafua cv yako kwenye migodi yote iliyopo tz, yani huwezi pata kazi mgodi wowote tena.
   
Loading...