Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?


She was it was just West African Nations prefers Ngozi Okonjo-Iweala of Nigeria by then at Security Council was a powerful

Block and they thought they were sold out; Ngozi was or still is Nigerian Minister of Finance; So Most of West and Some Central African

Nations were not happy and you know Tanzania; Had Salim Ahmed Salim in the OAU for Unprecedented 3 1/2 terms;

They, will say what'soever just to humiliate her work ethics;

FYI; she's the 1st Ass Secretary General who passes all the AUDITS; she was not heavy spender like other's.
 
naambiwa hapa kumbe kitchen part za huku bongo alikuwa akichangia hakosi kufunga safari kuja kuhushuria! ki moon ana haki ya kumpiga chini.

Mkuu sembuli Huyu mama aliliaibisha sana Taifa kwa kushindwa kufanya kazi kwenye hiyo Taasisi ya kimataifa ambayo mipangilio yake inaeleweka Ndio ataweza kufanya hapa ambapo hakuna mpangilio?
 

Bless my soul........ what a literal content and style!
 

Vox Media trying very hard to justify malice against dr. Migiro!!; the same happened to prof Anna Tibaijuka. cruel world!!; that spilt milk; no use crying over it! thank god at least she had the 5 years and Tanzania shone at the world stage, Welcome back home Dr. Migiro, Tz will benefit from your exposure.
 
tukubaliane jambo moja kwamba huyu awe amefaulu au ameshindwa kufikia viwango vya UN basi alipata upeo mkubwa wa namna UN inafanya kazi.Matokeo ya upeo huo ni sawa na kusoma Elimu Dunia.Akiwa kiongozi anao wajibu kwake binafsi, kwa familia, kwa jumuiya na kwa serikali kujaribu kutumia uzoefu wowote aliopata huko hata kama atajifunza kwa makosa yake,kuweza kuchangiA MAENDELEO HAPA NYUMBANI
 
Ni kweli nilikuwa Kampala April 2009 nikakutana na Very Senior Officer wa UNHCR aliyeko Geneva akaniambia kwamba ndani ya UN system Asha Rose Migiro haonekani kama mchapakazi.
 


Da hapo penkundu kwa kiswahili inakuwaje.​
 
Mwanzo wa aibu hiyo, kubebana bebana tu..matokeo yake ndio haya sasa..kuleni aibu zenu sasa..ila kapiga bingo mbaya...
 
Hapo kwenye rangi nyekundu: Hivi unasomewaga wapi huo..chuo gani vile...lol duh, wabongo bwana hivi kuna mtu anaspcialise kuwa mwl. wa chuo kiuu


 
Move on ... wengine wameelewa nilikuwa namjubu aliyeniuliza; It is interesting Some thinks they R better than others

More power 2 you...

This for one could be a lie you know......Salim was at the OAU and not UN

Nations were not happy and you know Tanzania; Had Salim Ahmed Salim in the UN for Unprecedented 3 1/2 terms;
 
Hapo kwenye rangi nyekundu: Hivi unasomewaga wapi huo..chuo gani vile...lol duh, wabongo bwana hivi kuna mtu anaspcialise kuwa mwl. wa chuo kiuu

Samahani kaka kwa kunikumbusha ulimi umetereza ni mhadhiri au lecturer.

Lol
 
Tukatae tuu ila huyu mama katuoshea jina nchi yetu, nani alikua anaijua Tanzania? Hata kama kaboronga ila bado yupo juu sema raia
bhatanzania bhana daaah?! Majungu mmezoea
 
Duh! Huyu mama kweli katutia aibu.

- katia aibu akina mama wenzake, tulidhani mwanamke anaweza akiwezeshwa huyu ka-prove otherwise; aibu

- katutia aibu watanzania; enzi hizo akisimama mtanzania Barazani wajumbe wote wanaingia ndani kusikiliza lakini wale wale wailohutubu kwa umahiri na weledi mkubwa ndio wanatumiliwa? aibu!

- kalitia aibu chama lake; wale jamaa wamepata ajenda na si ajenda ya uongo bali kweli tupu!

- kawatia aibu wasomi; wanasema ni miongoni mwa akina dada wa enzi hizo waliotoka na maksi kali lakini upatikanaji wake ukiwa umezongwa na wingu kubwa. Angetumia vizuri nafasi hii kuwafumba kinywa "wazushi" hao lakini badala yake ame-certify uzushi wao kuwa ukweli.

- mbaya zaidi ameitia aibu dini yetu. uuuuuuuuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…