Migebuka mibichi na Mikavu Inapatikana

byongo

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
827
1,945
Habari zenu.
Nauza migebuka mikavu na mibichi kutoka kigoma.
Wabichi wanauzwa kwa mmoja sh.1500 na kilo moja sh.11,000
Ipo fresh kabisaaa

Mikavu ipo, kuna mmoja 1000 na 2000
Fungu la wanne kwa sh.2000.

Napatikana Kimara,Dar es Salaam.

Karibuni sana.
IMG_20170328_135153.jpg
Screenshot_20170303-151353.png

0693255995
 
Back
Top Bottom