Migambo wa vita vya Kagera

Migambo wa vita vya Kagera

chanaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
344
Reaction score
190
Leo nilikua naangalia ITV kumbukumbu ya vita vya Kagera,na wakati vita hivi vikipiganwa nilikua nimeshazaliwa ila maji nilikua naita mmaah wakati huo,nimekua nikiadithiwa kuwa wakati wa vita migambo walitangulizwa mbele kama chambo kwa jeshi la Idd Amin na wengi wao waliuliwa,wanaojua naomba mnieleweshe je wale migambo ambao walirudi salama baada ya vita walichukuliwa jeshini au walirudi vijijini kukumbiza wananchi wakisaka kodi ya kichwa?
 
"Mmaah" Migambo wote walirudi salama na ndiyo hao unaowaona sasa mitaani na rungu.

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
Leo nilikua naangalia ITV kumbukumbu ya vita vya Kagera,na wakati vita hivi vikipiganwa nilikua nimeshazaliwa ila maji nilikua naita mmaah wakati huo,nimekua nikiadithiwa kuwa wakati wa vita migambo walitangulizwa mbele kama chambo kwa jeshi la Idd Amin na wengi wao waliuliwa,wanaojua naomba mnieleweshe je wale migambo ambao walirudi salama baada ya vita walichukuliwa jeshini au walirudi vijijini kukumbiza wananchi wakisaka kodi ya kichwa?
Habari yako nimeipenda hasa pale kwenye mmah! Sasa, pamoja na yoooooteee habari yako ni mstari mmoja tu. Kuna kitu kwa kiluguru kinaitwa "punctuation"! Waulize wakufafanulie mkuu. Kwa sasa ni hayo tu.
 
F

Fwafwanua mkuu hiyo punctuation
 
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images.jpg

Hapa Ni siku walipokua wakirudi sasa!!
 
Si kweli kuwa mstari wa mbere wali tangulizwa mgambo, wewe una lako jambo, hayo unayo ya sikia, au kubuni, si ya kweli, na sifikirii kama yatajenga nyumba na watu wakaishi ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nimeshaliza shule ya msingi tayari walichukuliwa baba mkubwa kaka yangu mjomba babu takribani watu kumi na nne kwenye ukoo walienda na wote walirudi salama salimini ila wengi kwa sasa wametangulia mbele za haki kuhusu kuwekwa kama chambo wanasema si kweli ni maneno ya wavivu wa kazi nilitamani sana kwenda ila bi mkubwa alikaza kamba mwanzo mwisho nisiende kuliwa na Nduli fashisti dk pr Alhaji king IDD AMIN DADA
 
Back
Top Bottom