Hii nchi ukweli usemwe tu tunaishi kianalog mno na mbaya zaidi hatutaki kubadilika kuishi kidigitali na kujifunza hatutakiMtu una vielelezo hivi
1. Cheti Cha kuzaliwa
2.Cheti Cha shule ya msingi
3.Cheti Cha secondary
4. Cheti Cha ufundi veta.
5.TIN number
6.Reseni ya Biashara
7.Kitambulisho Cha NIDA
8.Passport ya Tanzania
• Sasa mtu ukienda kupata Huduma ktk Hofisi za watawala wanakuambia kalete Barua ya Utambulisho wa wa Serikali ya mtaa/ Utambulisho wa mtendaji.
• Hawana uwakika kama ni mtanzania, Mifumo Haisomani na Wala Hawaziamini Documents zao.
• Kwa mtazamo wangu Hawa Hata kitambulisho chao Cha Taifa wakiamini wakati kina Taarifa zote za mtu, pia kuna ku update Taarifa za mtu. Yaani Mambo mengi Wanafanya kama tunaishi Karne 15
Hawakiamini kitambulisho chao Cha Taifa.
Mmesoma na kuhitimu lakini ofisi mnaita hofisi?! Stupid.Tatizo linaanzia kwa wazee wafanya maamuzi ya kisera waliojazana Serikalini hata baada ya kustaafu.
Mbinu za miaka ya 70 ndizo zinazotumika katika karne ya 21 huku vijana wanaopaswa kuendesha nchi kisasa wakiwa nje ya mfumo licha ya kusoma na kuhitimu....
CCM+ taasisi zenu za kidini zinataka mambo ya Nyerere yabaki kama Yalivyo.Hii nchi ukweli usemwe tu tunaishi kianalog mno na mbaya zaidi hatutaki kubadilika kuishi kidigitali na kujifunza hatutaki
Aliyekwamishwa kashindwa kujua kuwa alikwamishwa ili arekebishe alipokwamishwa?Lakini nape kwenye lile zoezi la kuweka post codes, alimkwamisha Samia ,makusudi. Kijana wa hovyo sana
Uwone? Ni halali kudai hizo baruaUsingalie Dosari, ndogo Tembea Uwone Nchi zingine mifumo inavyosomana,
Yaani Chumba tu ulichofikia Documents zinasomana umefika lini na unatakiwa kuondoka lini yaani sisi Watanzania tunaishi kama wanyama.
Ni kama nimemwelewa hivi...hupati kitambulisho cha Taifa kama huna barua ya mtendaji, sasa ukiwa tayari unacho kitambulisho au namba ya NIDA barua ya mtendaji ya utambulisho ni ya nini tena? Nadhani ndiyo lengo lake mifumo kutosomanaupo mfumo unaitwa napa ambao unapata barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji wa kata online
Haha mkuu Kuna mambo ukiyajua utaogopa sana, Kuna wana siasa wanamiliki mitandao ya kihuniAliyekwamishwa kashindwa kujua kuwa alikwamishwa ili arekebishe alipokwamishwa?
Usenge mtupuCCM+ taasisi zenu za kidini zinataka mambo ya Nyerere yabaki kama Yalivyo.
Watu waishi kama wapo zizini
HahahahahahaUkifatilia nida kwa sasa unaambiwa leta cheti cha kuzaliwa, ukienda kwenye cheti cha kuzaliwa unaambiwa leta nida, unashindwa uanzie wapi.
Kwa style ya utendaji wetu, maelekezo na ubunifu wote huanzia juu kuja chini. Kama kiongozi wa juu hajui nchi ielekee wapi ni vigumu sana watu wa chini kuilekeza sehemu sahihi...watz tumezoeshwa kuambiwa fanya hiki, kile na viongozi...sijui umenielewa...Hii nchi ukweli usemwe tu tunaishi kianalog mno na mbaya zaidi hatutaki kubadilika kuishi kidigitali na kujifunza hatutaki
Haha mkuu, wachina wengi unao waona mjini wan NIDA mfukoni. Na October wanatik✅Ukifatilia nida kwa sasa unaambiwa leta cheti cha kuzaliwa, ukienda kwenye cheti cha kuzaliwa unaambiwa leta nida, unashindwa uanzie wapi.
Kujua makazi yako au unapopatikana kwa wakati huo, na anae omba ni wewe kwa uthibitisho toka kwa mtendaji au mwenyekiti wa kijijiNi kama nimemwelewa hivi...hupati kitambulisho cha Taifa kama huna barua ya mtendaji, sasa ukiwa tayari unacho kitambulisho au namba ya NIDA barua ya mtendaji ya utambulisho ni ya nini tena? Nadhani ndiyo lengo lake mifumo kutosomana
Hilo neno, weledi, linapendwa Sana na wale jamaa wenye jukumu la usalama wa raia. Limekuwa kama "catchword" kwao.Bado atakuja nyumbu mmoja kutoka huko alikotoka anakwambia inafanya kazi kwa weledi
Najaribu kuangalia tena mahali nilipoita hofisi kwenye bandiko langu sioni..... 😳 🤔Mmesoma na kuhitimu lakini ofisi mnaita hofisi?! Stupid.
Kama kiswahili kwenu shida, vipi lugha za kigeni na usomi wenu uchwara huo!
Aaliyeandika hofisi ni mleta mada, si wewe.Najaribu kuangalia tena mahali nilipoita hofisi kwenye bandiko langu sioni..... 😳 🤔