Ajira ni kwenye nyanja zote,kuanzia kulima,utayarishaji,uzalishaji,usambazaji,uuzaji zote ni ajira,tusielekeze fikra zetu kwenye kiwanda pekee
ha ha ha... hapo haina maana wote hao watafanya kazi kiwandani. wengine kazi ni kulima miwa, wengine kumwagilia, wengine kukata miwa, wengine ulinzi wa miwa, wengine kwenye huduma za jamii inayozunguka kiwanda hicho kama police, hospitali, shule nk.Kiwanda Kitazalisha tani 200000 kwa hili sawa ila kwa hili la kitaajil watu 100000? Mungu nipe uzima mpka nione haya maajabu.
inch ambazo ziliwahi kuendelea zilijitoa akili na kuwekeza kwa makusudi kabisa bila kujali outcome hizo unazosema.Huwezi kutumia pesa za mifuko ya jamii kujenga viwanda.
Hakuna short-term return na hata hiyo long-term return ni very risky.
Kuweka rekodi sawa si watanzania wote wanashangilia haya makosa ya makusudi yanayofanywa kwa kukiuka miongozo ya BOT na SSRA.
Hili suala la viwanda linageuka kuwa obsession itakoangusha uchumi kwa serikali kuweka nguvu kwa kitu ambacho hakilipi.
Muda utaongea.
Hivi wenye fedha zao wameridhia fedha zao kujenga viwanda?wanaongozwa na wanasiasa badala ya kufanya tathmini ya kina
Mkuu mbona maneno yako yamejaa laana badala ya baraka?.figisu za biashara wanazijua??? sio baadae waanze kulia,
majengo yao mengi hayana wapangaji kutokana na kodi kubwa,lazima hizo bidhaa zao wataziuza bei kubwa halafu zitawaozea kama maghorofa yao yalivyobaki tupu