Mifuko mipya

Mambo ni [emoji621][emoji621][emoji621][emoji621]
 
R.I.P rambo kabla hata ya kifo chako, tushaanza kukulilia.
 
Unaambiwa Adam na Eva wa Tukuyu wamekula tunda jingine, tutegemee vyuma kukaza zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo nimefungiwa sukari kwenye bahasha ya kaki, nikaambiwa nililipie na bahasha, nikagoma nikaomba hela yangu na kwenda duka lingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtanyooka tuu Pambaneni na hali zenu Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu
 
Western countries hili zoezi la kuban plastics bags limewashinda sasa sijui serikali ilijiaandaa vipi?
Wanakwenda taratibu, library unapewa cotton bag bure ubebee vitabu na wanaamini ukirudi utakuja nayo.
Supermarket wanauza re usable bags za gunia.
Wameshaona haliwezi kuwa zoezi la over a night.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…